Nimepata maono kuwa kiranga atabadilika na kuwa mtume au nabii

unaonekana una akili sana. basi sawa mimi nikutakie kila la kheri baada ya kuwasilisha maono hayo, sina cha kuongeza zaidi
 
Hahaha ukiokoka lazima ututhibitishie mkuuπŸ˜…
 
Good, huyu sasa ndio Kiranga
 
Yale yalikuwa mambo ya utoto tu.

Nashangaa watu wanayang'ang'ania mpaka ukubwani.
Nakumbuka pia mimi nilishawahi kuokoka πŸ˜… , ushawishi ulianza baada ya kusoma kitabu fulani kina itwa kweli mbingu ipo ,cha mama mmoja wa kikorea anaitwa choo nami Thomas, na zile sinena za mikanda ya yesu ,kuna filamu moja ilinivuta sana kuokoka kipindi hichoπŸ˜…πŸ˜…
 
Hii ni Kali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…