Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,134 Reaction score 7,573 Apr 13, 2026 #41 Kiranga said: Uzee mwisho Uzbekistan ππ Click to expand... π€£π€£π€£π€£ alisikika mzee mmoja
Kiranga said: Uzee mwisho Uzbekistan ππ Click to expand... π€£π€£π€£π€£ alisikika mzee mmoja
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Apr 13, 2026 #42 Ila nilisikia wana muita maalim Kiranga bin unyunyu majin karafuu
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,518 Reaction score 38,854 Apr 13, 2026 #43 Ni ngumu aisee
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Apr 13, 2026 #44 Intelligent businessman said: Ila nilisikia wana muita maalim Kiranga bin unyunyu majin karafuu Click to expand... Kiranga ChaNgeda Sakala Kandumbwa mjukuu wa Shomvi Chaurembo Mzee wa Mji tangu Jumbe Tambaza hajapumzika hapo Upanga. Hujaona uzi wa intro?
Intelligent businessman said: Ila nilisikia wana muita maalim Kiranga bin unyunyu majin karafuu Click to expand... Kiranga ChaNgeda Sakala Kandumbwa mjukuu wa Shomvi Chaurembo Mzee wa Mji tangu Jumbe Tambaza hajapumzika hapo Upanga. Hujaona uzi wa intro?
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Apr 13, 2026 #45 Kiranga said: Kiranga ChaNgeda Sakala Kandumbwa mjukuu wa Shomvi Chaurembo Mzee wa Mji tangu Jumbe Tambaza hajapumzika hapo Upanga. Hujaona uzi wa intro? Click to expand... Sijauona mwana, hebu ni tag noisome.
Kiranga said: Kiranga ChaNgeda Sakala Kandumbwa mjukuu wa Shomvi Chaurembo Mzee wa Mji tangu Jumbe Tambaza hajapumzika hapo Upanga. Hujaona uzi wa intro? Click to expand... Sijauona mwana, hebu ni tag noisome.