Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA"

Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu uwezo wao wa kitandani ili nijue kama wana maajabu ama nisipoteze muda kusafiri.. Duh nakuta Uzi umeunganishwa na uzi wa " je umewahi Kula papuchi kimasihara?"

Hivi kuna uhusiano gani kati ya nyuzi hizo hapo 2 tafadhali hadi kuunganishwa ?

Ngachoka.
 
Back
Top Bottom