To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Thread closedPoor me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread closedPoor me
Shida kubwa ni messi kutwaa kombe, now zile thread zao za mess vs ronaldo zitakua hazina mashiko tenaMmehuzunika france kukosa kombe au Messi kutwaa kombe?
Pole sana ndo ukubwa huoYaani nashindwa nielezee vipi ili nieleweke.
Jana baada ya fainali ya kombe la dunia kumalizika nilipata maumivu makali sana ambayo sijawahi kuyapata kwenye masuala ya kimichezo yaani moyo ulikuwa unauma sana alafu nikawa sina raha kabisa. Nilijishangaa sana kutokana na hiyo hali, kwakwel niliumia sana na nikanyongonyea mithili ya mrenda.
Nilipenda sana Ufaransa atwae huo ubingwa lakini haikuwa hivyo, ilifika kipindi ukitizama kikosi cha Ufaransa chote ni Waafrika kasoro kipa wao tu, nilipenda sana hao wabaruya wachukue ubingwa. Pongezi sana kwa Mbappe
Mpaka sasa hivi bado nina maumivu makali sana, nimejaribu kutumia dawa za kutuliza maumivu lakini bado sijapata nafuu yoyote ile. Poor me