chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
- Thread starter
- #21
😆😆
😆😆 unajaribu kusema kwambaaa.....Utakatwa tu mkuu vumilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆 unajaribu kusema kwambaaa.....Utakatwa tu mkuu vumilia
Na lengo la tozo ni kurudisha afya ya mabenk.maana yalikua yanakufa..kaz zao zilihamia kwenye miamala ya simu...wanasahau kuwa technolojia inakua ila wao hawatak badirika...Kutuma pesa CRDB to CRDB ni bure. Ila kutoa kwenye ATM ni 800 kama sikosei, na kutoa 1m inabidi utoe 400K + 400K + 200K. Mara 3 inakuwa 2400 kwisha habari.
Mkuu ujue mimi huwa sikuelewi sana wakati mwingine unakuwa mkosoaji na wakati mwingine unakuwa upo upande wao....kimsingi hapo ni kama sijakwepa kodi coz hiyo huduma ipo kihalali na inatumikaWazungu wangekuwa wanakwepa hivi kulipa Kodi ( kukatwa Kodi ) sidhani kama nchi zao leo hii zingekuwa na Maendeleo makubwa mpaka Sisi hawa hawa Watanzania ( Waafrika ) wakwepa Kodi na Tozo tunahangaika kutafuta Viza za kwenda huko Kwao.
Tuacheni janja janja hebu tulipeni Kodi.
Na Siku zote huwa sipendi Kueleweka.Mkuu ujue mimi huwa sikuelewi sana wakati mwingine unakuwa mkosoaji na wakati mwingine unakuwa upo upande wao....kimsingi hapo ni kama sijakwepa kodi coz hiyo huduma ipo kihalali na inatumika
Hayo makato sio kodi ni tozo ya uzarendo ndio maana ni kubwa kuliko pesa inayostahili kulipia kodiWazungu wangekuwa wanakwepa hivi kulipa Kodi ( kukatwa Kodi ) sidhani kama nchi zao leo hii zingekuwa na Maendeleo makubwa mpaka Sisi hawa hawa Watanzania ( Waafrika ) wakwepa Kodi na Tozo tunahangaika kutafuta Viza za kwenda huko Kwao.
Tuacheni janja janja hebu tulipeni Kodi.
Sidhani kama biashara yao ilikuwa ngumu sana kihivyo ni huyu dr wa uchumi ndio kichwa majiNa lengo la tozo ni kurudisha afya ya mabenk.maana yalikua yanakufa..kaz zao zilihamia kwenye miamala ya simu...wanasahau kuwa technolojia inakua ila wao hawatak badirika...
Wewe hueleweki ndio maana mke wako amekukimbia.Na Siku zote huwa sipendi Kueleweka.
KunaWazungu wangekuwa wanakwepa hivi kulipa Kodi ( kukatwa Kodi ) sidhani kama nchi zao leo hii zingekuwa na Maendeleo makubwa mpaka Sisi hawa hawa Watanzania ( Waafrika ) wakwepa Kodi na Tozo tunahangaika kutafuta Viza za kwenda huko Kwao na hata Misaada yao ya Kifedha ( Kipesa ) huwa wanatupa kila Uchao.
Tuacheni janja janja hebu tulipeni Kodi.
Uzuri kwa hao wazungu hamna mtu ambaye anadokoa pesa ya serikali na kujineemesha kizembe bila kuwajibishwa😅😅😅Wazungu wangekuwa wanakwepa hivi kulipa Kodi ( kukatwa Kodi ) sidhani kama nchi zao leo hii zingekuwa na Maendeleo makubwa mpaka Sisi hawa hawa Watanzania ( Waafrika ) wakwepa Kodi na Tozo tunahangaika kutafuta Viza za kwenda huko Kwao na hata Misaada yao ya Kifedha ( Kipesa ) huwa wanatupa kila Uchao.
Tuacheni janja janja hebu tulipeni Kodi.
Very nice explanation chief!Kuna
1.Kukwepa kodi (ni kosa kisheria)
2.Kuepuka kodi ni halali kabisa.
Kinachozungumziwa hapa ni kuepuka tozo. Ni sawa na nimwambie mtu usinitumie kwa simu hio 4m kwasababu nitakatwa 18,000 bali mpe bodaboda aniletee au nitumie moja kwa moja kwenye akaunti yangu. Hapa nimeepuka tozo na niko sawa kwa mujibu wa sheria hakuna jinai.
Kuna

Umewahi sikia kodi za wazungu zinatumika hovyo na wanasiasa.Wazungu wangekuwa wanakwepa hivi kulipa Kodi ( kukatwa Kodi ) sidhani kama nchi zao leo hii zingekuwa na Maendeleo makubwa mpaka Sisi hawa hawa Watanzania ( Waafrika ) wakwepa Kodi na Tozo tunahangaika kutafuta Viza za kwenda huko Kwao na hata Misaada yao ya Kifedha ( Kipesa ) huwa wanatupa kila Uchao.
Tuacheni janja janja hebu tulipeni Kodi.
Wananchi wakiyaona maendeleo awatokwepa kodi.Pili kodi nyingi zinakiuka kanuni ya kodi.Huwezi ukafanya dabo taxation kwa pesa hio hio moja huku ni kuwapora wananchi pesa kinguvu.Wazungu wangekuwa wanakwepa hivi kulipa Kodi ( kukatwa Kodi ) sidhani kama nchi zao leo hii zingekuwa na Maendeleo makubwa mpaka Sisi hawa hawa Watanzania ( Waafrika ) wakwepa Kodi na Tozo tunahangaika kutafuta Viza za kwenda huko Kwao na hata Misaada yao ya Kifedha ( Kipesa ) huwa wanatupa kila Uchao.
Tuacheni janja janja hebu tulipeni Kodi.
Mkuu mbinu uliotumia ni yakawaida tu na hata Tigo-pesa wenyewe wanaielewa, wewe hujatoa pesa kutumia namba ya wakala bali ulituma pesa kutumia namba ya simu ya wakala na huwenda ndio account ya namba ya simu ya wakala anayo pokelea pesa toka benki kulipia miamala ya wateja wa TIGO-PESA, na kwa njia hiyo tozo la laki moja ni 1600 bila kodi ya serikali kwa vile ni muamala unaotoka account ya simu kwenda account ya simu.Bila shaka Mungu ni mwema na ninawasalimu kwa jina la jamuhuri.
Nimeona nishee nanyi wenzangu katika kuwahabarisha kuhusu huduma tajwa hapo juu[emoji115]
Katika kusheherekea na kufurahia ushindi wa simba hapo jana niliona nipombeke kidogo[emoji38]ndipo nikajikuta mzigo kama unakata hivi mfukoni, ikasogea kwa wakala aliyekaribu yangu akanifundisha kaujanja flani hivi ambapo aliniambia nilipe kwa TigoPesa *150*01#(kwa wakati huo nilikuwa na pesa tigopesa) then unaenda namba 5 lipa kwa Tigopesa basi bwana nikajaribu kulipa kama laki moja hivi.
Unajua nini nilikiona, yaani makato ni shilingi mia nane(800). Sikuamini macho yangu hali iliyonifanya nirudi tena kutoa kiasi kama kile kile nilichokitoa pale mwanzo baadae wakati nilipotaka kuondoka na hali ikawa vile vile [emoji849]
Hivyo nikajikuta nimetoa sh.laki mbili(200,000)kwa makato ya Tsh.1600 wakati makato ya kawaida yangekuwa ni Tsh.16,480
Hii tunasema ahsante yule wakala kwa kunisanua nitakuwa ninakwenda kutoa pesa zangu kwake kamseleleko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Sina uhakika na hilo, lakini kuna sehemu niliona wanasema gharama ni zile zile za ATM kama kawaida. Lakini unaweza kupiga kwao wakupe taarifaNatamani kujua ile kumtumia asiye na akaunti ya benki, ila akatoe kupitia ATM…. gharama zake zikoje?
CRDB kuna ATM machine zinatoa mpaka laki 6 kwa mkupuoKutuma pesa CRDB to CRDB ni bure. Ila kutoa kwenye ATM ni 800 kama sikosei, na kutoa 1m inabidi utoe 400K + 400K + 200K. Mara 3 inakuwa 2400 kwisha habari.
Wanafunzi hawana hata madawati halafu unasikia kodi yako imetumika kuwajengea majumba na kuwanunulia wastaafu magari.Uzuri kwa hao wazungu hamna mtu ambaye anadokoa pesa ya serikali na kujineemesha kizembe bila kuwajibishwa😅😅😅
Hapa hizo tozo utakuja kusikia tu kuna mtu kajimilikisha sandarusi kisha watamuita Kisutu ila hafungwi😅
Sawa wewe ulilipa nini kwa wakalaBila shaka Mungu ni mwema na ninawasalimu kwa jina la jamuhuri.