Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Achana naye hakufai! Nipe namba yake!!
 
Back
Top Bottom