Nimepata mchumba Mchaga wa marangu nijulisheni tabia zao

Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Ndio Wachagga wanaongoza kwa ustaarabu Wachagga wa eneo la Vunjo yaani Kirua, Kilema, Marangu, Mamba na Mwika. Labda uharibu mambo wewe mwenyewe!
 
Dunia nzima inajua wachaga vibamia 😹😹

Nakuzingua bana naonaga mashosti zangu wanawasemaga kaka zao vibamia
Wao wamewaona wapi kaka zao vibamia? Labda wale wa rombo…
Babe wangu anayaweza na sio kibamia🙃🫠🤪
 
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Kuna mwenzako alifungiwa ndani nyumba ikachomwa moto kama sikosei ni Mbezi huko
 
Kabisa,anazaliwa marangu na wazazi mixture,anakulia kwa wagogo, primary kwa wanyakyusa,olevel kwa wangoni,A level kwa wabena,chuo kwa wanyamwezi,kazi kwa wafipa........ aaaaaarrrrrrgggghh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…