Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Gharama zake kwa kuku ni kubwa na risk ni kubwa wanaweza kufa siku moja... mayai bei sio ya kulidhisha wahudumu na vyakula eneo la kufugia pia... hii biashara kwangu hapana hawana faida labda samaki naweza kuku unga mkono...
 
Huwezi jua kama amesha invest ktk biashara nyingine nyingi na ametengeneza faida ndio maana ametenga hiko kiasi kwa kuwekeza kwao (TZ) ili aweze kuwa na biashara nyingi zaidi so wewe ni kumuuliza maswali ambayo yanaweza kukusaidia ktika kumshauri... na kumchambulia matumizi ya hiyo pesa na faida itakavyo ingia/kuipata

kama mpaka unapata hizo 50M hukuwa na wazo la kuinvest, wewe sio mfanyabiashara tena!
achana na wazo la kuziinvest tafuta kibanda tu ununue au ujenge, ili akili yako yoote iendelee kutafuta 100M kwa kutumia njia uliyotumia kuzipata hizo 50M.
 
Mimi sina hata kumi nasaka laki 5 tu.... ili kwa mwaka nitengeneze zaidi ya milioni 360... maana kwa siku sitegemei kupata chini ya 1.5M kwa biashara ninayotaka kuifanya, sema wakutukopesha pesa hawaonekani wa kutuajiri hata kwa sh. laki 2 kwa mwezi hawapo japo tumemaliza vyuo lakini sihitaji elimu yangu kuwa kikwazo cha mtu kuniajiri ili aogope kunilipa kutokana na elimu niliyonayo... cuz naitaji mtaji nipo tayari kupiga kazi halali hata ya mshahara wa laki 2 o 3 per month for me unatosha kuwa mtaji...!
 
Uwekezaji was sh milioni 50 ka bongo no mdogo
Nashauri tafuta ardhi kigamboni mama hekari 2 alafu weka mradi was kuku wa kienyeji na maBwawa ya samaki inalipa anza na kuku 2000 tu was mayai ya kienyeji baada ya miezi sits utaanzaona faida yake
Samaki utaona faida baada ya miezi 7 had I 9
 
anza kuzila taratibu wakati unasubiri kwa wadau la kufanya
 
niambie ni biashara gani hiyo naweza kuku finance
 

Kufanya biashara ukiwa mbali nikutafuta ugomvi na ndugu zako bora wekeza Kwenye ujenzi mjomba
 
Nunua viwanja,mashamba au misitu...biashara utaliwa
 
Kwani ili uwe milionea unatakiwa uwe na milioni ngapi?
 
Mohammed dewji.. Ni bilionea..
 
Njoo hapa GONGA ZOTE PUB, Mabibo Mwisho, kuna mademu wakaleeee hatareeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…