Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mpaka unapata hizo 50M hukuwa na wazo la kuinvest, wewe sio mfanyabiashara tena!
achana na wazo la kuziinvest tafuta kibanda tu ununue au ujenge, ili akili yako yoote iendelee kutafuta 100M kwa kutumia njia uliyotumia kuzipata hizo 50M.
anza kuzila taratibu wakati unasubiri kwa wadau la kufanyaHeshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
niambie ni biashara gani hiyo naweza kuku financeMimi sina hata kumi nasaka laki 5 tu.... ili kwa mwaka nitengeneze zaidi ya milioni 360... maana kwa siku sitegemei kupata chini ya 1.5M kwa biashara ninayotaka kuifanya, sema wakutukopesha pesa hawaonekani wa kutuajiri hata kwa sh. laki 2 kwa mwezi hawapo japo tumemaliza vyuo lakini sihitaji elimu yangu kuwa kikwazo cha mtu kuniajiri ili aogope kunilipa kutokana na elimu niliyonayo... cuz naitaji mtaji nipo tayari kupiga kazi halali hata ya mshahara wa laki 2 o 3 per month for me unatosha kuwa mtaji...!
Industrial Raw material broniambie ni biashara gani hiyo naweza kuku finance
Kusupply hizo raw materials... hunapata pesa ambayo siyo ngoja kesho, na una kuwa na uhakika na soko pia....niambie ni biashara gani hiyo naweza kuku finance
Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Kwani ili uwe milionea unatakiwa uwe na milioni ngapi?Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Mohammed dewji.. Ni bilionea..Shule ya bure/bila ada[emoji116]
_________________________
Milionea= Millionaire ~having millions of dollars in cash +assets
Bilionea= Billionaire ~ " billion " " " " + "
hata ukiwa na madafu yetu inatakiwa u- convert to USD then utaingia kwenye hizo rank, virtually sidhani km kuna billionaire Tanzania.
Gari la taka.GARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?
materials zenyewe ni zipi na ni kiwanda gani na ni wapi?Kusupply hizo raw materials... hunapata pesa ambayo siyo ngoja kesho, na una kuwa na uhakika na soko pia....
Ndio gari la bank ya biashara.GARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?