Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

3) Nunua mashamba madogo madogo yasizidi ekari 5, weka miundombinu shambani kama (Nyumba, kisima cha maji na weka mazao machache ya kudumu kama miembe, mihogo) kisha piga bei ya juu, halafu tafuta mengine
 
Anzisha Biashara ya Usindikaji wa Maziwa/ Diary product, Mdau lazima utoke.Kwa kuanzia unaweza anza na bidhaa za Mtindi na Maziwa Fresh.
We kwa kuanzia tafuta tu Mitambo simple ya usindikaji wa maziwa nazani hata SIDO wanayo then anza kukimbiza.
 
NUNUA MITUNGI 15 YA IRYX
MIDOGO X39"000
NUNUA 15 ORYX KUBWA X79"000
NUNUA MAJIKO MAWILI MAKUBWA 68000*2
NUNUA
MIHANINNDOGO 15*35"0000
KUBWA MIHANI 74"000*15
NUNUA REGULATOR TANO KILA OFISI
PIPES MT 60!KILA OFISI

LIPIA FIRE 100"000
LESENI 80"000
TRA
37"000*3
LIPA MFANYAKAZI

NUNUA PIKPIK ZAKO MBILI ZINAMPELEKEA MTEJA NYUMBANI.. GESI..
Security @urownrisk

Frame UKIITAJI NIJULJSHE

VINGINE NTAKUELEKEZA KWA HELA YAKO UNAWEZA FUNGUA SEHEMU NNE UKAMWACHIA MKEO AUHAWARA ANASIMAMIA

NIKAKUPA MTONYO MWINGINE TUKANUNUW HEKA LINDI. MTWARA TULIME REDBULL
 
Zichanjishe pesa zako kwenda pesa ya Zimbabwe utakua trillionea kabisa, kama lengo ni u millionea. Kama lengo financial stability na kipato cha kuendelea kaa chini utafiti usiwe na akili za kuchangiwa
 
KAMA UNAPATA SEHEMU NZURI UZA BIA ZA JUMLA JITANGAZE UKIITAJI MSAADA NTAKUELEKEZA ZAIDI....
 
nakushauri uwekeze kwenye Miti ya mbao ndani ya hiyo miaka kumi utavuna pesa nzuri sana,u nanunua Miti ya miaka mitatu au mitano
Hili ndiyo wazo pekee nililoliona linaweza kumfanya kuwa milionea ndani ya miaka kumi.
Mkuu Max kissey sijajua kama unataka kurudi Tanzania moja kwa moja au unataka uje uwekeze then urudi kukomaa na box. Miti ya Mbao na nguzo ukiwekeza hiyo pesa yako baada ya miaka mitano mpaka kumi ni pesa ya kutosha.
Njombe vijijini unaweza kupata ekari moja kwa shilingi elf60, kununua miti na kupanda ni kama elfu 60 tena, kwahiyo utakuwa umewekeza wastani wa laki moja na ishirini kwa heka, hata ukifanya laki mbili ni sawa tu kwa maana utahitaji upimiwe shamba lako, jumlisha na gharama zako na mafuta nk. Ukipanda mti wa nguzo inaingia 1000 kwenye eka, kama umenunua eka mia moja kwa shilingi milioni ishirini inamaana utakuwa na miti yako 100000, mti mmoja wa nguzo bei ya chini shambani ni shilingi 30,000. Kumbuka lazima uwe na mtu wa kuangalia shamba kilamiezi kadhaa kupalilia njia za kuzuiya moto na mambo mengine madogo madogo. Mti wa nguzo ni miaka mitano tu unavuna mzee. Hesabu zingine utapiga mwenyewe mkuu. Pia usisahau kuwaconsult wakulima wengine kama wakina Malila, japo siku hizi simwoni sana humu, sijuwi yuko makete...lol!
 

MKUU SALAAM,
Nipo nimejaa tele, nipo Njombe naotesha miti kama kichaa. Hii project imechukua muda wangu mwingi mkuu,kuanzia January hadi desemba ni mapambano tu. Nimepanua sana, kumbuka inabidi kukagua misitu ya Kilolo, uje misitu ya Mufindi, uje Njombe na umalizie Madaba Songea, unajikuta week mbili zimepotea bila kufika jf kwa washikaji.

Kila nikifungua chaka jipya, Napata fursa nyingine mpya mbele kwa mbele. Karibuni tuoteshe miti ya mbao na tufuge ng`ombe wa nyama.
 
3) Nunua mashamba madogo madogo yasizidi ekari 5, weka miundombinu shambani kama (Nyumba, kisima cha maji na weka mazao machache ya kudumu kama miembe, mihogo) kisha piga bei ya juu, halafu tafuta mengine


Mawazo yenu yanafanana kabisa! Mleta mada afwate huu ushauri
 
mkuu changamoto kubwa kwenye biashara ya daladala ni ipi,, na je ww ulifanyia wap hyo biashara..kama ni dar njia hipi inalipa sana,,,na malengo kwa siku ni shingap,,, sorry kwa usumbufu kaka
Kaka usithubutu kuingiza pesa yako kwenye biashara ya dala dala .Biadhara hiyo inachangamoto nyingi kubwa zaidi umbali na gari inatembea haiendani sawa na kipato inacholeta utajikuta gari inachoka pesa hakuna .Ni rahisi sana biashara hii mdomoni ila ukiingie field hakuna faida.
 
atapata pressure kabisa
 

Duuuh, mkuu mpaka leo si utakuwa na ekari zaidi ya alfu moja!! Hongera sana mkuu.
Hapo Madaba naskia ardhi bado bei chini hebu nidokeze kidogo mkuu, pia naskia wanalima tangawizi, haujajitumbukiza huko tupate mawili matatu?
Shukran
 
Duuuh, mkuu mpaka leo si utakuwa na ekari zaidi ya alfu moja!! Hongera sana mkuu.
Hapo Madaba naskia ardhi bado bei chini hebu nidokeze kidogo mkuu, pia naskia wanalima tangawizi, haujajitumbukiza huko tupate mawili matatu?
Shukran

Kwema,
tafuta uzi wangu mmoja uko humu, "SIRUDI NYUMA", nataka nifikishe eka 5000 za miti huku duniani Mungu akinipa uhai. Madaba ni wilaya mpya sana, ina ukanda wa juu, huu ukanda wa juu ardhi yake ni ghari kidogo, nina mashamba ule ukanda wa juu na watu wanajua thamani ya ardhi, pia wamepiga shule sana.Ardhi yao nzuri mno kwa kilimo.

Ukanda wa chini baada ya kupita Lilondo, hauna mvua sana kama Wino, ardhi yake inahitaji mvua nyingi na inastawisha nafaka sana. Wenyeji ni wavivu kiasi, wanaokimbiza mitaa ile ni wahamiaji toka Njombe, yaani wabena na ndio wanalima tangawizi kwa wingi. Nipo Kipingu na Lutukira, nataka kufuga, kulima bado. Ardhi ipo tele, na bei iko chini sana. Tatizo manpower. Maji yapo, usafiri upo.
 
Ishi we vipi, kwani nini maana ya millionaire? Sasa utakuwa millionaire mara ngapi wakati tayari una mamilioni ya shilingi
 
Kama utakuwa interested Na biashara ya madin njoo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…