pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
leo akimuua gijon kesho anaamka na mil 75.Bet tu tengeneza mkeka mchukue Barca, Chelsea na Jong Ajax kisha weka Milioni hamsini yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo akimuua gijon kesho anaamka na mil 75.Bet tu tengeneza mkeka mchukue Barca, Chelsea na Jong Ajax kisha weka Milioni hamsini yote.
leo akimuua gijon kesho anaamka na mil 75.
Natafute nikupe Dira ya njiaa sahihi ya wewe mwenyewe kuona biashara unayopaswa kufanyaNina 30m sioni Biashara ya kufanya...
Nicheki inbox nikupe mwanga wa nini maana hasa ya uwekezaji na jinsi sahihi ya kuwekeza! Ili ulicho nacho usije kipotezaHeshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Njoo tufungue kituo cha afyaHeshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Mkeokama hiyo 50m umeipata ndani ya muda mfupi ukiwa huko ufaransa naona unayo fursa nzuri ukiwa hukoya kuwa miliomea.
au kama unaona unaweza fanya uwekezaji wa muda mrefu jenga nyumba pangisha kula pesa mdogo mdogo....
au baada ya ujenzi iuze kupitia madalali. kama wafanyavyo shirika la nyumba.
japo inaweza kuhitaji uongeze pesa kidogo
NB haya ni maoni yangu tu na sio sheria na nipo tayari kukosolewa kwa lengo la kujifunza zaidi.
GARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?
Leo nilinunaaaa aksante kwaww unavuna 8m kila mwezi kwa ufugaji wa samaki na kuku,,
njoo tufanye biashara kila month unachukua asilimia 20% ya pesa yako na siku ukiitaka nakukabidhi yoteHeshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
What is your dream,Fulfil your dream,money is the result.Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Mbona tayari wewe ni milionea,milionea ni MTU anayemiliki mali/utajiri kuanzia milioni moja,labda useme unataka kuwa bilioneaHeshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
NUNUA MITUNGI 15 YA IRYX
MIDOGO X39"000
NUNUA 15 ORYX KUBWA X79"000
NUNUA MAJIKO MAWILI MAKUBWA 68000*2
NUNUA
MIHANINNDOGO 15*35"0000
KUBWA MIHANI 74"000*15
NUNUA REGULATOR TANO KILA OFISI
PIPES MT 60!KILA OFISI
LIPIA FIRE 100"000
LESENI 80"000
TRA
37"000*3
LIPA MFANYAKAZI
NUNUA PIKPIK ZAKO MBILI ZINAMPELEKEA MTEJA NYUMBANI.. GESI..
Security @urownrisk
Frame UKIITAJI NIJULJSHE
VINGINE NTAKUELEKEZA KWA HELA YAKO UNAWEZA FUNGUA SEHEMU NNE UKAMWACHIA MKEO AUHAWARA ANASIMAMIA
NIKAKUPA MTONYO MWINGINE TUKANUNUW HEKA LINDI. MTWARA TULIME REDBULL