Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nicheki inbox nikupe mwanga wa nini maana hasa ya uwekezaji na jinsi sahihi ya kuwekeza! Ili ulicho nacho usije kipoteza
 
Una mpango wa kurudi Tanzania?kama huna mpango wa kurudi fanya biashara hapo ulipo.biashara inataka usimamizi .
 
Njoo tufungue kituo cha afya
 
Fungua pharmacy maeneo ya mjin inalipa sana. Mm nimesomea hayo mambo ukiwa interested tuwasiliane 0658047048
 
Mkeo
Ana shidaaa. .hujaelewaa nini
GARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?
 
Think big!
Yaani boresha mbinu uliotumia kupata hiyo 50m,
Ili hiyo 50m itengeneze 300m, then 300m izae 1billion! Na ndo utaitaitwa millionaire!
Ila kama umepata kwa wizi au mkopo au zawadi njoo pm nikupe mbinu mubashara za kutengeneza pesa!
 
Kama utaweza kuja huku ni vema ukasimamia miradi yako mwenyewe usimuagize mtu, hatuaminiki. Pata gari ya mzigo kargo mfano fuso.
Fanya transit za kubeba vyakula mfano ndizi, viazi, karoti, mchele mbeya dar mpaka zanzibar uwe mtaji wako usitegemee kukodiwa tu. Utatoka vizuri.
Tz bado fursa za kazi zipo shida ni mtaji na vitendea kazi na usimamuzi mbovu. Sisemi ufanye ni ushauri tu.
 
njoo tufanye biashara kila month unachukua asilimia 20% ya pesa yako na siku ukiitaka nakukabidhi yote
mfano ukinipa mwezi huu mwezi ujao tarehe ya leo unakula 20% interes ya pesa yako na bado 50millioni yako ipo palepale.
50,000,000/=20% =10,000,000/=
 
What is your dream,Fulfil your dream,money is the result.
 
Mbona tayari wewe ni milionea,milionea ni MTU anayemiliki mali/utajiri kuanzia milioni moja,labda useme unataka kuwa bilionea
 

Mkuu wewe kichwa sana, utafika mbali kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…