Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

njooo bongo kisha nunua trekta afu anza kufanya kilimo maeneo km rukwa,morogoro, ngara, dodoma sumbawanga,utaona utakavya piga bingo. karibua sana
 
Ukimiliki milion 100 wewe sio milionea ili uwe milionea unatakiwa uvuke tamko la milion yan namaanisha uwe na angalau bilion moja
Shule ya bure/bila ada[emoji116]
_________________________

Milionea= Millionaire ~having millions of dollars in cash +assets

Bilionea= Billionaire ~ " billion " " " " + "

hata ukiwa na madafu yetu inatakiwa u- convert to USD then utaingia kwenye hizo rank, virtually sidhani km kuna billionaire Tanzania.
 
Ukiwa na mil50 wewe sio milionea...Milionea maana yake unatakiwa uwe na pesa kuanzia bilion...
Nitakupa mfano mdogo..Mwenye milion 50 mana yake hana milion 100 ...ukiwa milionea unatakiwa uwe na kiasi cha pesa chochote kinacho tamkwa milion kadhaa..
Mie nnaona na wewe unajichanganya hata huyo mwenye 50M za kibongo ni milionea pia..... Labda tuseme mtoa mada alikusudia kusema anataka kuwa millionaire in term of US Dollar ambayo ni sawa na kuwa na utajiri wa madafu wa 2Billion
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Njoo nikupe Deal ya kutengeneza ''Brickets'' kwa kutumia takataka.....Brickets ni badala ya mkaa.

cutcaster-photo-100599197-charcoal-brickets.jpg
Ndugu wewe unatengeneza kwa mashine ya kiwandan au yako ya kienyeji umetengeneza mwenyewe?
 
50 M not enough uwe billonea.calculate risk before u jump.

USIJARIBU KUWEKEZA HIYO PESA BONGO AFU UBAKI UFARANSA UTARUD ZIRO.
Kaa huko huko ongeza pesa nakuambia usibweteke umri mdogo nguvu unazo fanya kazi extra time ongeza pesa uwe na salio la maana na ukirud tz wekeza kwanza kwa fixed asset nunua viwanja..nunua nyumba ...jenga weka wapangaji wa aina zote wa kukodi nyumba nzima....chumba sebule ...na wale wa chumba kimoja una uhakika wa kupata pesa bila stress kila baada ya mwezi mmoja au sita na mwaka mmoj

Biashara zenye risk ni nzur ila ujue lolote laweza tokea ukarud kwenye ziro kuwa makin na chunguza kwa makin fanyia research biashara yako kabla ya kuanzisha
 
Ndugu wewe unatengeneza kwa mashine ya kiwandan au yako ya kienyeji umetengeneza mwenyewe?
Niliwahi kutengeneza kwa Machine iliyoundwa IMAC hapahapa Tz lakini nime simama kitambo,awali nilitumia taka za mbao Iringa baadae mchanganyiko wa taka za madampo ya dar miexr taka mbao.
 
Niliwahi kutengeneza kwa Machine iliyoundwa IMAC hapahapa Tz lakini nime simama kitambo,awali nilitumia taka za mbao Iringa baadae mchanganyiko wa taka za madampo ya dar miexr taka mbao.
Hiyo mashine uliuziwa pesa ngapi mkuu? Mie nilikuwa nnataka nitengeneze kwa kutumia malanda. Ila sikujua nitaanzia wapi kutafuta. Nikiangalia online bei yake imesimama kidogo
 
Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Millionaire ni mtu mwenye mamilion ya pesa. Na hakuna kiwango cha mamilioni kilichoanishwa kwamba ukiwa nacho ndiyo utaitwa millionaire. Hivyo km shida yako ni kuwa au kuitwa millionaire na unazo 50m tayari wewe ni millionaire. Hivyo huna haja ya kufanya biashara yoyote mkuu. Kwani tayari ww ni millionaire. Hivyo endelea kuzitumbua.
 
wewe nakuona kama mtu mzalendo, njoo uwekeze nchini mkuu, kuna fursa nyingi, njoo, uwekeze kwenye lendingi mkuu, milioni 50, zinatosha au km huna experience nayo njoo ofisini kwetu tunaingia contract nzuri kutokana na fedha yako kila mwezi tunakulipa 10% ya mtaji wako, dheni after 24 month unarudishiwa fedha yako km ilivyo wakati huo ndani ya kipindi chote kila mwezi ulikuwa unakula 10% sisi tunafnya biashara ya lending mkuu kwa muda wa miaka7 sasa
[emoji121] itakula kwako....usithubutu hii biashara.Kwa Mungu ni dhambi na pesa yaki ita angamia.
 
Back
Top Bottom