Mkuu mpaka iingie road kama mjapan ni zaidi ya 75Mmbona hela yake haitoshi akitaka kununua coaster..coaster mpya kabisa ni 60ml au labda anunue kwa mtu
sio roll modal ni role modelKilimo na ufugaji hakitengenezi mamilionea fasta mkuu. Hebu taja japo 2 tunaoweza kuwachukulia kama roll modal
Shule ya bure/bila ada[emoji116]Ukimiliki milion 100 wewe sio milionea ili uwe milionea unatakiwa uvuke tamko la milion yan namaanisha uwe na angalau bilion moja
Embu nisaidie kwenye hilo la forex nilielewe vyema na mie niwe mshirikaHakujatulia kwa vipi?
Nimetoka kupiga 30USD sasa hivi.
Wewe unafanya analysis ya wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]njoo nikuuzie business proposal milioni kumi na nina uhakika itawork
Mie nnaona na wewe unajichanganya hata huyo mwenye 50M za kibongo ni milionea pia..... Labda tuseme mtoa mada alikusudia kusema anataka kuwa millionaire in term of US Dollar ambayo ni sawa na kuwa na utajiri wa madafu wa 2BillionUkiwa na mil50 wewe sio milionea...Milionea maana yake unatakiwa uwe na pesa kuanzia bilion...
Nitakupa mfano mdogo..Mwenye milion 50 mana yake hana milion 100 ...ukiwa milionea unatakiwa uwe na kiasi cha pesa chochote kinacho tamkwa milion kadhaa..
Ndugu wewe unatengeneza kwa mashine ya kiwandan au yako ya kienyeji umetengeneza mwenyewe?Njoo nikupe Deal ya kutengeneza ''Brickets'' kwa kutumia takataka.....Brickets ni badala ya mkaa.
Wekeza pia kwenye hisa mojawapo huku Tz kama Twiga, UTT, ziko nyingi utapata faida. Ila usijikite kuwekezaTOL utajuta.
Niliwahi kutengeneza kwa Machine iliyoundwa IMAC hapahapa Tz lakini nime simama kitambo,awali nilitumia taka za mbao Iringa baadae mchanganyiko wa taka za madampo ya dar miexr taka mbao.Ndugu wewe unatengeneza kwa mashine ya kiwandan au yako ya kienyeji umetengeneza mwenyewe?
Nimependa huu ushauri ningekuwa mi ndo huyo dogo nafanya hii kazi!!Ingia kwenye biashara ya mawasiliano uwe wakala unauza vocha za jumla na huduma za fedha za simu kama mpesa, tigopesa na halopesa
Hiyo mashine uliuziwa pesa ngapi mkuu? Mie nilikuwa nnataka nitengeneze kwa kutumia malanda. Ila sikujua nitaanzia wapi kutafuta. Nikiangalia online bei yake imesimama kidogoNiliwahi kutengeneza kwa Machine iliyoundwa IMAC hapahapa Tz lakini nime simama kitambo,awali nilitumia taka za mbao Iringa baadae mchanganyiko wa taka za madampo ya dar miexr taka mbao.
Mkuu hii biashara ulisha wahi kuifanya? labla yeye ndiyo awe derevanunua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
Kwani alimaanisha nini?sina maana hiyo
uondokeKwani alimaanisha nini?
Millionaire ni mtu mwenye mamilion ya pesa. Na hakuna kiwango cha mamilioni kilichoanishwa kwamba ukiwa nacho ndiyo utaitwa millionaire. Hivyo km shida yako ni kuwa au kuitwa millionaire na unazo 50m tayari wewe ni millionaire. Hivyo huna haja ya kufanya biashara yoyote mkuu. Kwani tayari ww ni millionaire. Hivyo endelea kuzitumbua.Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Basi bana ngoja niende,ila ushauri wako ni mzuri auzingatie!uondoke
[emoji121] itakula kwako....usithubutu hii biashara.Kwa Mungu ni dhambi na pesa yaki ita angamia.wewe nakuona kama mtu mzalendo, njoo uwekeze nchini mkuu, kuna fursa nyingi, njoo, uwekeze kwenye lendingi mkuu, milioni 50, zinatosha au km huna experience nayo njoo ofisini kwetu tunaingia contract nzuri kutokana na fedha yako kila mwezi tunakulipa 10% ya mtaji wako, dheni after 24 month unarudishiwa fedha yako km ilivyo wakati huo ndani ya kipindi chote kila mwezi ulikuwa unakula 10% sisi tunafnya biashara ya lending mkuu kwa muda wa miaka7 sasa