Nimepata mpinzani kwenye biashara yangu mbinu gani niitumie kumu-overcome

Usije ukamroga kijana wa watu maana wabongo hamchelewi kumtumia radi mchana kweupe bila ata mawingu
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Ahsante sana mkuu kwa uchanganuzi
 
Naona umetema za Obi Wan Kenobi....
 
Kiongozi nakuhahakikishia hizo mbinu ungezitumia kwangu wala hautoboi lazima uhame na duka lako biashara ina siri kubwa mno kuliko maneno
 
Fanya vitu vya kukutofautisha....mfano muda wa kufungua kama mnafungua saa mbili we jitahidi kumi na mbili na nusu ofisi ipo wazi hii pia inawin sana wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…