Nimepata mpinzani kwenye biashara yangu mbinu gani niitumie kumu-overcome

Ndio hivyo tena biashara ni ushindani ukilala wenzio wanaamka, mwenye frem anachotaka ni kodi hajali aliempangisha anauza nini na anaetaka kupangisha nae atauza nini shida kodi inaingia

Fremu inayofuata kaingia mpangaji mpya ile kufungua ni copy na paste ya bidhaa ninazouza, cha ajabu kaja na bei msereremko na ni mzawa wa hili eneo, hebu nipeni mbinu niboreshe nini zaidi ili niendelee kubaki kwenye game kama Ali kiba licha ya ujio wa diamond

Natanguliza shukrani
Fanye yote lakini usimdhuru wala kumuua. Jinai itakupotezea Kila kitu chako.
 
Na yeye lazima kajipanga hasa ndiyo maana kajileta hapo jirani ili mshindane vizuri.

Asiwe mshirikina tu,atakulaza na viatu.😀
 
Ndio hivyo tena biashara ni ushindani ukilala wenzio wanaamka, mwenye frem anachotaka ni kodi hajali aliempangisha anauza nini na anaetaka kupangisha nae atauza nini shida kodi inaingia

Fremu inayofuata kaingia mpangaji mpya ile kufungua ni copy na paste ya bidhaa ninazouza, cha ajabu kaja na bei msereremko na ni mzawa wa hili eneo, hebu nipeni mbinu niboreshe nini zaidi ili niendelee kubaki kwenye game kama Ali kiba licha ya ujio wa diamond

Natanguliza shukrani
Unafanya biashara gan???
 
Back
Top Bottom