Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Yeah biashara ushindani
Yeah biashara ushindani
The last drop of urine doesn't obey gravitational force untill you shake it.Ndio hivyo tena biashara ni ushindani ukilala wenzio wanaamka, mwenye frem anachotaka ni kodi hajali aliempangisha anauza nini na anaetaka kupangisha nae atauza nini shida kodi inaingia
Fremu inayofuata kaingia mpangaji mpya ile kufungua ni copy na paste ya bidhaa ninazouza, cha ajabu kaja na bei msereremko na ni mzawa wa hili eneo, hebu nipeni mbinu niboreshe nini zaidi ili niendelee kubaki kwenye game kama Ali kiba licha ya ujio wa diamond
Natanguliza shukrani
Kwann hii bro ?Kama ni mzawa hana maisha.
Kazi ni kipimo cha utu
Tupo sambamba na wewe mpaka umkimbieMpambano ni mkali
Kweli Ubaya UbwelaTupo sambamba na wewe mpaka umkimbie