Nimepata mpinzani kwenye biashara yangu mbinu gani niitumie kumu-overcome

The last drop of urine doesn't obey gravitational force untill you shake it.
 
na mimi ndo huyo jirani yako nilio hamia jirani yako na mimi npo kuchukua ushauri ili tuoneshane[emoji3]
 
Weka bango sehemu ambayo wateja wanaona vizuuuri

andika hivi “ UBORA ULIOTHIBITISHWA”
 
acha SUMBUA watu umejenga nyumba halafu mlango wa ingia kwako haupo au hauonekani ili hata nyumba yako ikiwa na shida watu waje saidia . tatizo sio mpinzani kwanza acha piga kelele toa taarifa haifanyi mtu ajiulize maswali hayana kichwa wala miguu ambayo yanaweza kutokusaidia.
 

Attachments

  • FireShot Capture 304 - Nimepata mpinzani kwenye biashara yangu mbinu gani niitumie kumu-ov_ - ...png
    156.8 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…