incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwezi ku-Erect vizuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kweli naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarudi kuwa sawa?
Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.
Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.