Nimepata mshtuko wa uume, nahisi umevunjika au umeteguka

Habar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?

Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.

Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Duu ajali kazini ndani ya siku tatu utakuwa sawa lete mrejesho hapa, halafu huwezi kuikomesha hiyo wala huwezi kubaki nayo yanatakiwa matumizi ya kiasi
 
Habar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?

Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.

Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Itabidi uwaombe marafiki wawe wanakisaidia kumkaza Mkeo maana ndiyo bye bye
 
Habar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?

Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.

Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Usifanye masihara na hicho kiungo nenda hospital haraka sana.
 
Mkuu kwa maelezo tu japo wengi wamekufuru ila nimepata hope kuwa pengine haijavunjika labda imeshtuka tu, maana hata saiz haiumi kiivo ila kusimama ndio naona kama haisimami kwa afya ile ya kunyooka inanyanyuka nyanyuka kwa vipindi na kuanguka mthili ya ndama aliezaliwa akijaribu kujikakamua kunyanyuka ngoja niroad kwanza nione kufikia kesho itakuwaje
 
Back
Top Bottom