Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Mkuu nenda agha kan kuna proceess unafanyiwa inaitwa fresh lymphatic drainage massage...Palepale stim ilikata mzee... had mda huu nimelala
Wanakuingiza kitu kama spock ya baskeli ila ni ya shaba alafu wana kupaka mafuta flani hivi ya bardiiii
Baada ya hapo wanaanza kukufanyia massage ambayo kama una haja kubwa lazima ikutoke...
Baada ya hapo unakaa na hiko kichuma siku tatu kisha watakitoa....
Mkuu ni hatarrrr mi nilipelekwa na mama angu mdogo...