Nimepata mshtuko wa uume, nahisi umevunjika au umeteguka

Nimepata mshtuko wa uume, nahisi umevunjika au umeteguka

Habar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?

Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.

Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Haijavunjika bana vumulia kidogo ndani ya siku 3 utakuwa sawa
 
Back
Top Bottom