Nimepata mshtuko wa uume, nahisi umevunjika au umeteguka

Nimepata mshtuko wa uume, nahisi umevunjika au umeteguka

Blaza ulivyotoka hapo ulikua bado kundini😮
Kuna dawa unameza inarangi ya kijivu yaani kidonge kidogo ila kinavunjwa mara 4 alafu ndo unameza na vingine hiko kidonge kidogo uwezi dindisha wanasema mpaka mafuta yakauke ..

Kile kishaba kinatolewa baada ya siku tatu mkuu
 
Ndio shida ya kuiga unakuta Mkeo ni Tipwa tipwa alafu unamwambia aikalie.
Pole sana Brother tulia huku ukianza kufanya tendo kwa muda wa wiki itarudi kwenye hali yake
 
I
Mkuu kwa maelezo tu japo wengi wamekufuru ila nimepata hope kuwa pengine haijavunjika labda imeshtuka tu, maana hata saiz haiumi kiivo ila kusimama ndio naona kama haisimami kwa afya ile ya kunyooka inanyanyuka nyanyuka kwa vipindi na kuanguka mthili ya ndama aliezaliwa akijaribu kujikakamua kunyanyuka ngoja niroad kwanza nione kufikia kesho itakuwaje
Hapo ndio inaaga mazima.
 
Kinachovunjika ni mfupa sasa uumwe ni msuli( muscles na mishipa ya damu) unaanzaje kuvunjika? Hiyo ni strain bila shaka
 
Back
Top Bottom