incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Ahsante mkuuNikajua ni member mpya kumbe ni nguli kabisa.
Mkuu pole sana muone daktari kwa uchunguzi na ushauri zaidi.
Huo umemaliza mwendo, matumizi yake yaliyobakia ni kukojoa tu.Habar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?
Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.
Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Mkuu acha masikhara basi aseehHuo umemaliza mwendo, matumizi yake yaliyobakia ni kukojoa tu.
Duuuh!Huo umemaliza mwendo, matumizi yake yaliyobakia ni kukojoa tu.
Mkuu mwone daktari uume unaweza vunjika japo hauna mifupa ila ukaharibu zile tissue zake wakati wakujamiana na ukikaa mda utabadilika rangi yake ya asili.Ahsante mkuu
Teheteheteheh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo umemaliza mwendo, matumizi yake yaliyobakia ni kukojoa tu.
Ni baada ya mda gani mkuu. Na ukivunjika kuna namna ya kuunga??Mkuu mwone daktari uume unaweza vunjika japo hauna mifupa ila ukaharibu zile tissue zake wakati wakujamiana na ukikaa mda utabadilika rangi yake ya asili.
Kmmke😁Huo umemaliza mwendo, matumizi yake yaliyobakia ni kukojoa tu.
SI uende hospital wwNi baada ya mda gani mkuu. Na ukivunjika kuna namna ya kuunga??