Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee maisha marahisi sana.
Kuna demu kanisumbua weee mpaka basi.
Ila kuna siku alipoona App ya JamiiForums tu kwenye simu yangu, aah mwenyewe kalainika.
Akaniona bonge la mtu
Akaniambia kumbe una hekima eeh, nikamuuliza kwa nini akanijibu kuwa amefurahi kuiona App ya JF kwenye simu na uwepo wa App wa JF unaonesha nina upeo mkubwa kimawazo kwa sababu watu wasio na upeo wa maisha hawaipendi JF wanaiita ya wazee.
Akaniambia kuanzia leo niite mke wako rasmi nimekukubalia kuishi na wewe kwa hali yoyote ile.