Nimepata msichana kisa kuwa na App ya JamiiForums

Nimepata msichana kisa kuwa na App ya JamiiForums

Ni yeye ana ID nyingi sana humu. hadi zingine anaanzisha thread na kujijibu mwenyewe, kuna wakati mods waliamua kuziunganisha kiasi kwamba ukisoma uzi unaweza kucheka mpaka ufe! mfano alianzisha uzi wa HR 666 Hujambo eti uzi umetumwa na YEEZUS halafu mods wakaunga hizo ID mbili yaani unaweza kucheka jinsi alivyokuwa anajijibu mwenyewe . si unaona hata alivyonijibu hapa
Inaonesha n member mzoef sana

HR 666 <[]> Jord Pola??? ngoj niunge dots, jf huwa haidangany
Huyo sio wa jana wee Asprin. huyu ni yule mwenye ID mia kidogo, ni HR 666, pia alikuwa anajiita YEEZUS 2 nas ndio yule yule Jordi Pola.


Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom