Mwasongola
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 149
- 108
Mkuu mimi nina wazo dogo kama utakuwa tayari tukutane tuongee ikiwa utalikubali tufanye ila halihitaji mtaji mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kampuni gani mkuu niifanyie kazi hii fursaNi wazo zuri kweli.
Nimezisahau ABC za kampuni fulani ya maji. Ila walihitaji uwaonyeshe 10M kama mtaji halafu wanakupa gari, godown kitu cha tatu nimekisahau ndugu yangu.
Fuatilia.
Mkuu,nenda ka-bet, ukiingiza hiyo hela unapiga 40m in just a day, achana na mambo ya fremu sijui bidhaa, sijui wateja sijui nini.
Momonyoa wazo hilo hapa tuyajengeMkuu mimi nina wazo dogo kama utakuwa tayari tukutane tuongee ikiwa utalikubali tufanye ila halihitaji mtaji mkubwa.
Joniee, strctly wazo lako ni boashara hiyo tu? Na lazima ufanyie dsm?Hivi karibuni nimepata mtaji wa takribani Mil 20. Nimekuwa nikipanga kuanza biashara ya electronics kama vilivyotajwa hapa chini, changamoto inayoniogopesha ni mamlaka za serikari kuhusu vibali na ushuru na ubora wa wazo lenyewe. Naombeni ushauri nini nizingatie, nini niongeze kwenye list au kipi nibadili
- Simu zenye thamani ndogo
- Earphones/Head phnones
- Phone covers
- Screen protectors
- Wireless speakers
- Batteries
- .......
Nimeisahau jina, ipo Mbeya. Ni maarufu sana kwa MbeyaNi kampuni gani mkuu niifanyie kazi hii fursa
Njoo inbox mzee unipe briefMkuu mimi nina wazo dogo kama utakuwa tayari tukutane tuongee ikiwa utalikubali tufanye ila halihitaji mtaji mkubwa.
Sijawahi fanya biasharaTwende pole pole mkuu, hizo 20M za mtaji umezipataje? Kama ni kwa biashara endelea kuikuza hiyo hiyo biashara iliyokupatia hizo pesa badala ya kuanzisha biashara nyingine. Otherwise unambie chanzo cha mtaji wako.
SawaNjoo inbox mzee unipe brief
Linahitaji kiasi gani na mimi nije isije kuwa ndogo kumbe million 10Sawa
3 miln for the beginningLinahitaji kiasi gani na mimi nije isije kuwa ndogo kumbe million 10
Wazo sio baya sana anatafuta odds zake 2 basi anaweka stake Mala buuuu 40 hii hapaMkuu,nenda ka-bet, ukiingiza hiyo hela unapiga 40m in just a day, achana na mambo ya fremu sijui bidhaa, sijui wateja sijui nini.
Fungua mkuu hii ni moja ya biashara inayo lipa sana ukujua namna ya kuifanyaHivi karibuni nimepata mtaji wa takribani Mil 20. Nimekuwa nikipanga kuanza biashara ya electronics kama vilivyotajwa hapa chini, changamoto inayoniogopesha ni mamlaka za serikari kuhusu vibali na ushuru na ubora wa wazo lenyewe. Naombeni ushauri nini nizingatie, nini niongeze kwenye list au kipi nibadili
- Simu zenye thamani ndogo
- Earphones/Head phnones
- Phone covers
- Screen protectors
- Wireless speakers
- Batteries
- .......