Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

Mabalaa mengine mnajitakia wenyewe Kwa watoto wenu.
Mimi nimepewa jina la Babu yangu mdogo.
Huyo Mzee ana misimamo ya ISLAMIC STATE.
na ndo nimerithi tabia yake.
Nina misimamo mikali sanaa.na uwa sijali watu wananichukulia vipi.
Jina la MTU linafata tabia zake.
 
Unaweza kumuita hata piere likwidi au job ndugai
 
Majina hutoa taswira ya tabia ya mtoto baadae.
 
Ahahahah Sasa ndugu ulikuwa unaomba maoni au kujikumbusha history za madikteta mtu aliye ua Uhuru wa watu kuchagua na kuchaguliwa akaleta hbr za kupita bila kupingwa na kuuwa vyama pizani be kuvunja katiba iliyo was na kumbabikiza watu kesi. Na kujijengea airport Kijiji kwao kweli ndio unatak mwano huyo aitwe magufuli
 
Muite s Pombe Suluhu Mbena
 
Muite Musa
 
Mimi nakushauri mpe jina la tukumseh
 
Kwani wewe huna wazazi wenye majina?
Huyo mtoto mbona unataka kumfanya wa taifa?
Kwanini usimuite hata TB Joshua? Au ulipendatu maji yake ila jina hulitaki?

Kwakua umemfanya mtoto wa taifa sasa majina nihaya yafuatayo.
. TBC Taifa
.Hafidhi(nadhani mmenielewa)
.Pire Liquid
.Makonda
.Palamagamba
Chagua linalokufaa zaid hapo
 
Atafukuzwa shule akiwa Form II
Atafaulu FORM IV kwa shida,
Hatafaulu Form VI,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…