Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

Muite Shaka
 
hauna wazazi?
 
Jina Mbena linamstahiki mwanao wa kuzaa. Utampaje mwanao ubini usio wake au unaona aibu kuwa na jina hilo? Mdharau kwao mtumwa.
 
Mtoto ni wako, mpe jina lolote ulipendalo wala huna haja ya kutafuta ushauri kuhusu jina la mtoto. Hata ukimwita "New Anointing Water" nalo ni jina pia.
 
Hakuna shaka Magufuli was a great stateman, patriotic, visionary and pan africanist! It's such an honor to name a kid after him.
 
Huuu uzi nilikua nasoma heading tuu napita. Leo nikasema niufungue bora hata nisingefungua kumbe ni uzi wa Majina ya marehemu mbalimbali.
 
Labda mtoto Sio mtoto wako
 
Mtoto umezaa na mama mtoto wako, nyie ndio mtaamua aitweje.. ila kama imekupendeza hivyo

Mwite: JOHNPOMBE MAGUFULI MBENA

Nimemkumbuka: FIDEL CASTRO ODINGA
Aongeze na CHATO kabisa
 
Ni kweli, unafanana na jina lako kabisa.
 
Hizi sasaa sifaa. Unda tak fosi na mkeo kusaka jina la mtoto wenu
 
Kama jinsi unavyomuamini basi Mungu basi mpe jina mwanao litokanalo na ukuu wa Mungu.

Nikikuita pungazeze sitakua nimekosea, aliekusaidia mkeo akapona ni Mungu, aliekusaidia mpaka mtot akazaliwa we mwenyewe umekiri kua ni Mungu.

Walau ungesema tukushauri ni jina gani kati ya manabii waliosaidia kwa namna moja ama nyingine mkeo kupona kupitia maneno yao ya uponyaji. Lakini kwa ulivyo fyatu eti unataka kumpa jina la dikteta kisa tu unampenda wewe. Hizi laana nyingine ni za kujitaftia tu, huyo magufuli kashiriki vipi kumkomboa mkeo na mwanao??

Ungekua karibu ningekuwasha makofi hata 2 akili ikukae sawa.
 
Mkuu ulifanikiwa kumpa dogo jina gani?
 
Ujinga nao una elimu yake nadhani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…