Nimepata mtoto wa kiume

Nimepata mtoto wa kiume

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Mungu ni mwema.

Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.

Mama na mtoto ni wazima.

Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.

Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
 
Daah, eti Kadi ya CCM
 
Muite mwamayele
 
Hongera Sana Kwa Family Kuongezeka
Ila Hapo Ccm Ndiyo Ukakasi
 
Mungu ni mwema.

Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.

Mama na mtoto ni wazima.

Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.

Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
huyu mtoto atakuwa ni mwanachadema
 
Mungu ni mwema.

Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.

Mama na mtoto ni wazima.

Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.

Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Mtoto unamkabidhi kwenye hii madhabahu kweli?
Chanzo Cha Matatizo
Chama Cha Mazezeta
Chama Cha Mashetani
Chama Cha Mafisadi
 
Back
Top Bottom