Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hongera sana kamarada 👍Mungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Mwenyezi Mungu atukuzuie vyema na kumpa afya njema ,akili pevu ,ungangari na ushujaa wa kuja kuwa faida kwa familia ,majirani na kwetu watanzania wote ,aaamin aaaamin🙏
Nimefurahi kuwa unamuandalia kadi ya chama chetu bora ,kudos👍
#Siempre JMT🙏
#Siempre CCM🙏