Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hongera sana kamarada πMungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
πNamkuza katika misingi ya ujamaa na kujitegemea.
Amina na asante sana comrade.Hongera sana kamarada π
Mwenyezi Mungu atukuzuie vyema na kumpa afya njema ,akili pevu ,ungangari na ushujaa wa kuja kuwa faida kwa familia ,majirani na kwetu watanzania wote ,aaamin aaaaminπ
Nimefurahi kuwa unamuandalia kadi ya chama chetu bora ,kudosπ
#Siempre JMTπ
#Siempre CCMπ
Kwani kuna mwanaume mwenye uhakika huoπ―%?!!!Una uhakika gani huyo mtoto ni wako mzee baba βΊοΈ
πJongera mkuu
Mm ninao wawili hapa home 7&4 yrs
Wanakula balaa
Jitahidi kufanya kazi kwa bidii ugali usikosekane mezani
Ushetani upi ?!!! π²π²Mtoto unamkabidhi kwenye hii madhabahu kweli?
Chanzo Cha Matatizo
Chama Cha Mazezeta
Chama Cha Mashetani
Chama Cha Mafisadi
CCM inajitegemeaNamkuza katika misingi ya ujamaa na kujitegemea.
Much welcome πAmina na asante sana comrade.
Imani ni muhimu sana.Hongera sana.
ila mpaka awe mtu mzima ccm itakuwa historia kama kanu.
ukumbuke kumtengenezea mazingira ya kiimani kwanza.
pia jitahidi umlee kwa jasho lako sio kwa hela ya rushwa, ufisadi. na dhuluma maana ccm hela zenu hamzipati nje ya hapo.
Halafu ni kijana wa miaka 25 huyoHongera Sana Kwa Family Kuongezeka
Ila Hapo Ccm Ndiyo Ukakasi
Sio mbaya. Ni ushauri tuu.Asante mkuu ,
Nilifikiria nimpe la kiimani zaidi.
Moses.