MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
Avatar imeenda wapi ma cherie? Nilivokua naipenda!Usimeze dawa yoyote ile kama unabrestfeed kabla hujamwona Dr.Hedhi kupata mapema inategemea mwamamke kwa mwanamke,wengine hukaa hata mwaka bila kuona,wengine ndo kama wewe.
Nimeamua kuipotezea,si unajua tena mwaka mpya na mambo mapya,bonne année and meilleurs voeux.Avatar imeenda wapi ma cherie? Nilivokua naipenda!
pole sana dada, hilo ni tatizo ambalo husababishwa na kutokuwa na usawia wa vichochezi (hormone imbalance) kwa sababu ya mimba au baada ya kujifungua ,ambalo hulazimisha homoni(oestrogen) hizo zichochee yai litolewe kutoka kwenye ovary za mwanamke na kusababisha kutokea kwa hedhi baada ya siku 21 hadi 35 ,kwa hiyo ili kuzui ovulation isitokee tumia microgynon 21 vidonge zinauzwa 10000tsh au flex p vidonge 21 tsh 5000 vitakusaidia
Nimeamua kuipotezea,si unajua tena mwaka mpya na mambo mapya,bonne année and meilleurs voeux.
usitumie dawa yeyote. Kila mwanamke huwa anataratibu kufwatana na hali ya mazingira yalivyo. Kama una kuwa na man wako karibu na anaku chokoza basi waweza kupata hali ambayo itaifanya mwili wako urispond ili kujitayarisha kwa kubeba mtoto mwengine na itakufanya upate hizo hedhi. Zaweza zikawa endometrium ina shed au ikawa just hedhi ya lust. Lakini kama unanyonyesha na maziwa yanatoka vizuri usitumie dawa na unapojamiiana bora utumie kinga. Dawa itamzuru mtoto anayenyonya.
kuwa makini na baba wa mtoto akitaka kuzibua masikio unadaka mimba fasta
Yeah atabemenda mtotokwani haruhusiwi? For what long
sio kawaida.unamatatizo makubwa.Ntarudi