MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
Nilijifungua mwezi wa kumi na mbili na nilipata period mwezi wa kwanza normally! Ingawa nasikia unatakiwa ukae for sometime up to six months bila kuona! Nanyonyesha vizuri na mtoto anaongezeka uzito, je kuna tatizo kwangu? Naombeni msaada