Nimepata period mwezi mmoja baada ya kujifungua je ni kawaida?

Nimepata period mwezi mmoja baada ya kujifungua je ni kawaida?

MDANGANYIKAJI

Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
77
Reaction score
59
Nilijifungua mwezi wa kumi na mbili na nilipata period mwezi wa kwanza normally! Ingawa nasikia unatakiwa ukae for sometime up to six months bila kuona! Nanyonyesha vizuri na mtoto anaongezeka uzito, je kuna tatizo kwangu? Naombeni msaada
 
kuanza kupata hedhi baada ya kujifungua kunategemea na ama unanyonyesha mtoto wako(excl.bfeeding) kama inavoshauriwa au hunyonyeshi , karibia asilimia 98 ya wanawake wanaonyonyesha watoto wao(exclusive breastfeeding) wataanza kpata cku zao miez 6 baada ya kujifungua na wachache wataaza kabla ya miezi 6. Madhara unayoweza kuyapata ni pamoja na kupata ujauzito pamoja na kupungukiwa damu(Iron def.anemia) kwa hiyo inabidi uonane na wataalamu wa afya ili wakushauri kuhusu njia za kuzuia mimba na lishe.
 
pole sana dada, hilo ni tatizo ambalo husababishwa na kutokuwa na usawia wa vichochezi (hormone imbalance) kwa sababu ya mimba au baada ya kujifungua ,ambalo hulazimisha homoni(oestrogen) hizo zichochee yai litolewe kutoka kwenye ovary za mwanamke na kusababisha kutokea kwa hedhi baada ya siku 21 hadi 35 ,kwa hiyo ili kuzui ovulation isitokee tumia microgynon 21 vidonge zinauzwa 10000tsh au flex p vidonge 21 tsh 5000 vitakusaidia
 
Usitumie dawa yeyote. Kila mwanamke huwa anataratibu kufwatana na hali ya mazingira yalivyo. Kama una kuwa na man wako karibu na anaku chokoza basi waweza kupata hali ambayo itaifanya mwili wako urispond ili kujitayarisha kwa kubeba mtoto mwengine na itakufanya upate hizo hedhi. Zaweza zikawa endometrium ina shed au ikawa just hedhi ya lust. Lakini kama unanyonyesha na maziwa yanatoka vizuri usitumie dawa na unapojamiiana bora utumie kinga. DAWA itamzuru mtoto anayenyonya.
 
Usimeze dawa yoyote ile kama unabrestfeed kabla hujamwona Dr.Hedhi kupata mapema inategemea mwamamke kwa mwanamke,wengine hukaa hata mwaka bila kuona,wengine ndo kama wewe.
 
yeah, .................... hilo ni tatizola hormone imbalance................... usitumie dawa yoyote.................. iache tu hali hiyo iendelee haina madhara na ni natural.................... cha muhimu tumia kinga kuepuka mimba nyingine kwa sasa................ hongera kwa kujifungua............ wala hakuna haja ya kwenda hospitali, we endelea tu kuinjoy maisha....................
 
Itakuwa mimba ingine imeingia. Bleed ni implantation kwenye wall ambazo ni week. Check with your gyn
 
Usimeze dawa yoyote ile kama unabrestfeed kabla hujamwona Dr.Hedhi kupata mapema inategemea mwamamke kwa mwanamke,wengine hukaa hata mwaka bila kuona,wengine ndo kama wewe.
Avatar imeenda wapi ma cherie? Nilivokua naipenda!
 
Dah....JF kuna raha....wataalam wapo wengi na ushauri wao uko simple and clear. umeelezea vizuri na hii inaonyesha una uelewa wa ulichokielezea

pole sana dada, hilo ni tatizo ambalo husababishwa na kutokuwa na usawia wa vichochezi (hormone imbalance) kwa sababu ya mimba au baada ya kujifungua ,ambalo hulazimisha homoni(oestrogen) hizo zichochee yai litolewe kutoka kwenye ovary za mwanamke na kusababisha kutokea kwa hedhi baada ya siku 21 hadi 35 ,kwa hiyo ili kuzui ovulation isitokee tumia microgynon 21 vidonge zinauzwa 10000tsh au flex p vidonge 21 tsh 5000 vitakusaidia
 
Aisee.....RR hapo kwenye red ni matunda ya kazi yako? nakumbuka ulianzisha darasa!
Nimeamua kuipotezea,si unajua tena mwaka mpya na mambo mapya,bonne année and meilleurs voeux.
 
Kuwa makini na baba wa mtoto akitaka kuzibua masikio unadaka mimba fasta
 
usitumie dawa yeyote. Kila mwanamke huwa anataratibu kufwatana na hali ya mazingira yalivyo. Kama una kuwa na man wako karibu na anaku chokoza basi waweza kupata hali ambayo itaifanya mwili wako urispond ili kujitayarisha kwa kubeba mtoto mwengine na itakufanya upate hizo hedhi. Zaweza zikawa endometrium ina shed au ikawa just hedhi ya lust. Lakini kama unanyonyesha na maziwa yanatoka vizuri usitumie dawa na unapojamiiana bora utumie kinga. Dawa itamzuru mtoto anayenyonya.

na vipi wakifanya na akapata mimba wakati ndo mtoto ananyonya halafu mdogo, what advice?
 
Back
Top Bottom