Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuandika tu hujui mapenzi ya dhati unayajua Kweli ?Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Nini tena kabebii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuuh hili swali gumu kuliko jibu utakalo pewaZaidi ya uzuri na umri una vigezo gani tena?
Dah asante Sana lakn me binadam na hisia pia, nashindwa nimekaa Sana naogopa kuzini,miaka 22 mbona bado your still young usiharakishe ndoa hivyoo jipe muda.
22 umekaa miaka miwili bila mahusiano so ukiwa na 20 ndo ulisitisha mahusiano. umedate ukiwa na umri mdogo ulikuwa hujui nini unataka na mpaka sasa hujui nini unataka.
jipe muda mdogo wangu changamoto za mahusiano bado hujaziona rangi yake halisi hizoo ulizo kutana nazo ni trailer tu.
Haujanielewa?Elimu yangu ni form4 tu vigezo vya mwanaume ni yyt ila asiwe Babu
Ameshafanya kama ulivyosema.Duuuh hili swali gumu kuliko jibu utakalo pewa
Usijali mdogo wangu fatuma, take care, m sidhan kama waoaji tumepotea kiasi cha kutafuta online. sanasana huku utawapata watakaoendeleza walipoushia waliotangulia kukutenda, jitahidi kuwa na mwenendo na tabia nzuri, heshima kwa kila mtu, mtaan hapohapo wapo watakaokolea, ila pengine sasa hivi wanaadimika kwakua unaishi maisha ya kiinstagramAya kaka
Umeanza mapenzi ukiwa na miaka mingap? 22 yrz na umeumizwa mara kibaoMwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Dah asante Sana lakn me binadam na hisia pia, nashindwa nimekaa Sana naogopa kuzini,