Nimepata pigo la love

Kuandika tu hujui mapenzi ya dhati unayajua Kweli ?
 
Dah asante Sana lakn me binadam na hisia pia, nashindwa nimekaa Sana naogopa kuzini,
 
Miaka 22 tu ushavurugwa hivyo je ukifika 32? Acha kuwa seheme ya majaribio. Try play hard to catch. Na ukioatwa usiweke matumaini yako yote some time siyo mbaya kuwa na rafiki zaidi ya mmoja ukiwachunguza tabia zao kabla hujaamua.

Nakumbuka hii ya kuwa na rafiki zaidi ya mmoja nilifundishwa ba mwalimu wa bible school enzi hizo.
 
Miaka 22
Umekaa 2 yrs bila mahusiano
Umemaliza kidato cha nne
Tufanye umemaliza ukiwa na 19 yrz
Harafu umeumizwa mara kibao
Kwa kifupi wewe ni kicheche,umeanza kutafunwa ukiwa mdogo sana, tafsiri ya kuumizwa mara kibao maana yake umekuwa kwenye mahusiano mengi,
Kama siyo chai,basi umri ni changamoto kwako,kila lakheri
 
Usijali mdogo wangu fatuma, take care, m sidhan kama waoaji tumepotea kiasi cha kutafuta online. sanasana huku utawapata watakaoendeleza walipoushia waliotangulia kukutenda, jitahidi kuwa na mwenendo na tabia nzuri, heshima kwa kila mtu, mtaan hapohapo wapo watakaokolea, ila pengine sasa hivi wanaadimika kwakua unaishi maisha ya kiinstagram
 
Umeanza mapenzi ukiwa na miaka mingap? 22 yrz na umeumizwa mara kibao

Ushaur wangu tuliza akili fanya elimu utapata mume bora
 
Dah asante Sana lakn me binadam na hisia pia, nashindwa nimekaa Sana naogopa kuzini,

ndo maana nikakwambia jipe muda apoo sababu yakutaka ndoa ni ili usizini.

jaribu kutengeneza mazingira hisia zisitawale ubongo wako utafanya maamuzi yenye majuto.

mapenzi ni uvumilivu wa ukichaa usisahau pia hili mapenzi ni vita ya kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…