Nimepata pigo la love

Ukute mtu mwenyewe Kilomita zimesoma sana, umeshusha injini mara kibao alaf unatafuta rubani wa ndege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea na mafundi gereji
 
Kweli et[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ndo maana nikakwambia jipe muda apoo sababu yakutaka ndoa ni ili usizini.

jaribu kutengeneza mazingira hisia zisitawale ubongo wako utafanya maamuzi yenye majuto.

mapenzi ni uvumilivu wa ukichaa usisahau pia hili mapenzi ni vita ya kiakili.
Kweli kabisa
 
Sawa nashukuru pia
 
Yan miaka 22 umeumizwa ad umechoka huu mchezo umeuanza ukiwa na miaka 12 bas
Alafu ukiona hauumii tena kwenye mapenz bas ushakua Malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Tafuta kitu ujishughulishe unaonekana upo idle ndio maana unawaza tu mapenzi.

Kukimbilia ndoa kutakuponza bado mdogo tumia ujana wako vizuri ukiingia huko usijesema "ningejua nisinge"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya
 
Dah! Asante sa[emoji850]
 
Thank you very much
 
So kweli
 
22 kashaumizwa sana yani, hahahah ila sahivi kanataka mume mzee, haka katakuwa kabinti kutokea mikoa ya korosho kule bila shaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…