Nimepata pigo la love

Nimepata pigo la love

Ukute mtu mwenyewe Kilomita zimesoma sana, umeshusha injini mara kibao alaf unatafuta rubani wa ndege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea na mafundi gereji
 
Usijali mdogo wangu fatuma, take care, m sidhan kama waoaji tumepotea kiasi cha kutafuta online. sanasana huku utawapata watakaoendeleza walipoushia waliotangulia kukutenda, jitahidi kuwa na mwenendo na tabia nzuri, heshima kwa kila mtu, mtaan hapohapo wapo watakaokolea, ila pengine sasa hivi wanaadimika kwakua unaishi maisha ya kiinstagram
Kweli et[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ndo maana nikakwambia jipe muda apoo sababu yakutaka ndoa ni ili usizini.

jaribu kutengeneza mazingira hisia zisitawale ubongo wako utafanya maamuzi yenye majuto.

mapenzi ni uvumilivu wa ukichaa usisahau pia hili mapenzi ni vita ya kiakili.
Kweli kabisa
 
Umri wako bado sana, na nadhani kwasasa kungonoka usiweke kama kipaumbele kwenye maisha yako.
Tafuta shughuli ya kufanya ama anza kuchoma vitumbua kama Mwajuma nichokonoe. Kama ni mwanaume wa ndoa atakuja pindi utakapo pevuka vya kutosha, otherwise mabazazi tutakudanganya na tukuharibu tu humu.....
Sawa nashukuru pia
 
Yan miaka 22 umeumizwa ad umechoka huu mchezo umeuanza ukiwa na miaka 12 bas
Alafu ukiona hauumii tena kwenye mapenz bas ushakua Malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Tafuta kitu ujishughulishe unaonekana upo idle ndio maana unawaza tu mapenzi.

Kukimbilia ndoa kutakuponza bado mdogo tumia ujana wako vizuri ukiingia huko usijesema "ningejua nisinge"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya
 
Bitch on fleek, et miaka 22 umeshaumizwa Mara kibao loh
Ushauri wangu ni kwamba wanaume wa mtaani kwako wameshskudharau wameona wewe ni chawote kwani wewe unaonekana kwenye game kitambo!
Hama hilo eneo nenda mbali ukifika kule okoka,hapo wanaume wenye vigezo hivyo watakuja!
Ila kwangu Mimi wewe ni Malaya!
Dah! Asante sa[emoji850]
 
Take a break from dating.

Put your self first. Date yourself, fall in love with yourself... Take time to heal and to let go of your fears and worries.

Exhale the bad memories, inhale the goodness of life and the beauty of youth. You have your whole life ahead of you don't let it be clouded by memories of bad relationships.

In the meantime, focus on other aspects of your life. Career wise, education wise.... haven't you ever wished to pursue a degree.... or have a hobby on the side that can make you earn some extra cash.

This could be the right time for all that. Mahusiano yapo mbona....
Thank you very much
 
Tamaa zenu ndo zinazo waponza. Unataka kudandia mwanaume mwenye tayari ana maisha yake mazuri unasahau kuwa "hakuna mwanaume aliye endelea /kuwa na maisha mazuri akakosa mwanamke nyuma yake" matokeo yake anakukula akikuchoka anarudi to his origin.


Note that "nje tunafuata ngono tu, mipango ya maisha tunapanga na wake zetu chumbani"
So kweli
 
miaka 22 mbona bado your still young usiharakishe ndoa hivyoo jipe muda.

22 umekaa miaka miwili bila mahusiano so ukiwa na 20 ndo ulisitisha mahusiano. umedate ukiwa na umri mdogo ulikuwa hujui nini unataka na mpaka sasa hujui nini unataka.

jipe muda mdogo wangu changamoto za mahusiano bado hujaziona rangi yake halisi hizoo ulizo kutana nazo ni trailer tu.
22 kashaumizwa sana yani, hahahah ila sahivi kanataka mume mzee, haka katakuwa kabinti kutokea mikoa ya korosho kule bila shaka!
 
Back
Top Bottom