Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Umri wako bado sana, na nadhani kwasasa kungonoka usiweke kama kipaumbele kwenye maisha yako.Dah asante Sana lakn me binadam na hisia pia, nashindwa nimekaa Sana naogopa kuzini,
Tafuta shughuli ya kufanya ama anza kuchoma vitumbua kama Mwajuma nichokonoe. Kama ni mwanaume wa ndoa atakuja pindi utakapo pevuka vya kutosha, otherwise mabazazi tutakudanganya na tukuharibu tu humu.....