Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza


Sasa umeshakula mzigo??? kama bado urafiki wenu una maana gani sasa????? nakushauri kama bado hujamgonga,mgonge vizuri...hao viumbe hawaeleweki....over!
 
Bado mzaee!

Na hatuna haraka maana we are friends na tunawasiliana tu fresh

Duh...we kweli boya mkuu......naona amekutumia picha za kwenye whatsap umepagawa...hizo usiziamini mkuu na wakiongea kwenye simu duh sauti kama malaika gani sijui..ni nyororo balaa..sasa onana naye Live..anyway, kama analipa gonga kama ni kimeo sepa.....otherwise chenga nyingi hapo....mimi nimekuwa mpole humu JF sababu katika mademu 12 wa JF , watatu tu ndiyo walikuwa na nafuu kwa mbaali wengine nilitokomea kusikojulikana
 
Yaani nawaza halafu nachekaaaaa. Halafu namshkuru Mungu
 

samahani wewe dada!nisamehe sana sana !peace
 
Mtaje, vinginevyo ni wangu pia nachati nami huyohuyo
 
Hapana mi nataka kujua wamewezaje kudumu hadi sasa hivi maana mimi nikipata rafiki wa kiume humu jf haizidi miezi 6 tushakwaruzana
Badili eneo la tukio..njoo kitaa huku wamejaa telee👯..ukapotezea ile ishu kawaida yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…