Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

wewe relief mkeo umemshirikisha hili suala?nakumbuka uliwah sema mkeo mnaaminiana sana sana na amejifungua kwa operation ...na mnapendana sana sana...khaa! hv kuna urafiki wa mwanamkw na mwanaume...umenichosha...naoendaga kusikia men akiri anampenda na kumheshi.u mkewe..kumbe nawe wale walw😏😏😏😏
Manengelo. Hivi ukioa unakatazwa kuwa na marafiki?? Mimi nimesoma kidogo vitabu vya dini vinazungumzia nini kuhusu rafiki. Hivi tunafahamu kwamba in real life sometimes marafiki wana-play part kubwa kuliko ndugu?? Hususan hawa ndugu wetu wa kiswahili (ndugu lawama).

This friend of mine nimedisclose kwake kila kitu and she respects it. You are just thinking negative. I have friends and we maintain friendship.
 
Manengelo. Hivi ukioa unakatazwa kuwa na marafiki?? Mimi nimesoma kidogo vitabu vya dini vinazungumzia nini kuhusu rafiki. Hivi tunafahamu kwamba in real life sometimes marafiki wana-play part kubwa kuliko ndugu?? Hususan hawa ndugu wetu wa kiswahili (ndugu lawama).

This friend of mine nimedisclose kwake kila kitu and she respects it. You are just thinking negative. I have friends and we maintain friendship.


sawa kaka...utakuja nikumbuka..
 
mie siamini kbs kwenye urafiki wa hvyo..naogopa usije sema nakuoneeni gere..ila ww ndo umemleta shetan kwenye familia yako na bajaj...
Oohhh! We are ghosts here, remember??? We don't know each other (me and you) and I really think sio sawa kumuita rafiki yangu shetani. It doesn't bring about good feelings. Negativities mkuu, they are not good for your health. By the way, Thanks!
 
am sorry kaka
I am sure ameona ulivyomuita jina baya hilo. Usimhukumu mtu, I am sure she feels bad right now kwamba kwa sababu ya kuwa rafiki na Mimi kuna mtu anam-regard kama shetani. It's not fair mate, na itakuwa busara kama hii sorry utamwambia yeye. She doesn't deserve that from you. You don't know her, can I say you attacked her??
 
Una
Nasisitiza wajameni, nimepata rafiki hapa JF.

Moja ya malengoo ya kuwepo kwenye platforms kama hizi ni kuongeza idadi ya marafiki ambao wanaweza kukuongoza vyema katika mambo mbali mbali na kukufanya pia ufurahie uwepo wao. Maisha ni mafupi sana na hatuna budi kufurahia kila sekunde ya maisha yetu mbali na changamoto nyingi tulizonazo. Of course najua vyuma vimekaza.

Nimepata rafiki ambae aiseee tunaendana nahisi. Upstairs anaonekana yuko njema sana! Anaonekana ni muelewa na nafurahia kuwa rafiki yake.

Sikuwahi kudhani kwamba hapa JF kuna watu aina yake maana wengi mnaokumbana huko PM baada ya muda mchache wanaanza kuleta story za pesa and alike. Huyu anaonekana ni mtu anajiweza na hana mpango hata kidogo na hata senti moja yangu.

I enjoy chatting with her, yaani tumekutana bila ya kuweka mabandiko ya natafuta rafiki wala nini.

Wanangu ambao mnatafuta marafiki na wenye hamu ya kupata marafiki wenye akili zao basi msikate tamaa wala msilazimishe sometimes maana him michezo haitaki hasira.

Thank you pal for being there for me.
his ana ID moja tu? Una umri gani?
 
Back
Top Bottom