Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Wapo wanaojielewa,ila kuwa makini kama hamjaonana au kujuana kitaswira;kwa sababu unaweza kujipa matumaini labda yupo hivi au vile mwisho wa siku mnaonana mnaanza kupigana chenga.
That won't happen mkuu, our hearts are already committed into it. We are brilliant enough to know it's not about beautiful bodies and faces, it's about ideas, friendship, feel for each other, and a right person
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kupigana chenga huko vipi. Ila mi naamini kupigana chenga kunakuja pale mnapokuwa mmetongoza lakini kama ni normal friends hii sio tabu. Ila hakuna mtihani mkubwa kama kukutana na mtu ambaye mlikuwa mnachat afu mkawa wapenzi humo humo ktk uchatiji...[emoji1]
School of free thoughts, tema madini mkuu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] namshukuru Mungu ilienda vizuri...lakini hadi leo najiuliza what was I thinking dating a person nisiyemjua? Hivi ujue ni kama Ku bet.
Hahahahahahaha. Usinichekeshe na usiku huu
 
Hahahah kuna wimbo wake unaitwa Adela... Ssa mule ndani kacite maandishi ya Mwl. Nyika, anazungumzia aina za milio na maana yake... "Ukisikia fyuuuuuu, ujue ndege za kivita wanajeshi wanajiandaa siku ya mashujaa"... So uzi umekuwa perfecto like mashujaaz day chief[emoji1491]
Kabisa mkuu. Respect to you baaaaab
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] namshukuru Mungu ilienda vizuri...lakini hadi leo najiuliza what was I thinking dating a person nisiyemjua? Hivi ujue ni kama Ku bet.
sasa hivi teknolojia iko vizuri,mnatumiana picha,video kabla ya kuonana.....na mnapokuja kuonana kunakuwa hakuna mshituko;sio mtu unajiendea tu mwisho wa siku unakutana na kibwengo
 
That won't happen mkuu, our hearts are already committed into it. We are brilliant enough to know it's not about beautiful bodies and faces, it's about ideas, friendship, feel for each other, and a right person
Uko sahihi,binadamu anaitaji 'care' na sio 'lonely' peaneni 'appointment' mje mtupe mrejesho
 
Back
Top Bottom