Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Ni wale watu tunapendwa kusemwa kwamba tunafanyakazi sehemu fulani sasa akili ikishazoea kutoka ni ngumu unawaza status wakati status bila hela ni bure.
Ni kama kaugonjwa tunako wengi sema tu tunatofautiana aina.
Kabisa mkuu
 
Masikini[emoji26]

Hata classmate wangu anafanya internship crdb mnazi mmoja miaka minne buuure hajaajiriwa mpaka kesho, sikilizia hizo stress zake sasa[emoji848]
Benki nyingi kama CRDB na NMB kuna kamlete wengi. Kuna rafiki zangu wawili wamefanya field hizo, mmoja ananiambia hawezi enda na mwingine anadai kati ya wote waliokuwa branch yake walikuwa na ndugu kwenye benki. Alikuja fahamu hilo kwenye get together na alipomaliza alisalimisha vyeti vyake akaendelea na ofisi kusubiri mkataba ambao ashanambia anapokea lini. Alafu darasani mchache sana

Benki za kizungu ndio wako vizuri ila uwe vizuri kichwani na mzoefu
 
Naombeni ushauri, nina mwaka sasa tangu nimalize chuo, sina kazi, sijapata hata mtaji tu wa kuanzisha biashara. Nimepata sehemu ya kujitolea lakini ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena, sijala na nimeambiwa No malipo.

Barua ya kujitolea niandike kama naomba field kwenye hiyo ofisi, kukaa home nimechoka!!! Naombeni ushauri.......
Una mda gani tangu uanze kujitolea?
 
Back
Top Bottom