Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Hakuna sababu ya watu kukufariji.Wanaofarijiwa ni wale wanaofeli kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao,kama magonjwa.Wewe umeandaa kufeli kwako mwenyewe,you have to learn the hard way.You are the architect of your own failure,so swallow your failures and learn to start afresh.
 
Ulisema nyie ni wajanja na hamfeli mnasoma weekdays na weekends mnakula bata na maksi ukataja. Nafkiri ushamba wa mitandao na kujiamini sana kumekuponza. Bora ukasomee ualimu au hamia cbe
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

DUHHH SAFI SANA ALIJITAPA SASA YAKO SHINGONI
 
Kufeli kupo ndugu yangu ila kama unafeli na kukata tamaa basi hata huko utakoenda pia utashindwa mana huna hari ya upambanaji .kuwa mwanaume kweli shika kitabu kuanzia sasa soma acha upuzi jiandae na supp mie nishaona MTU mwenyew sup 5 na akachomowa zote .cheti hakitengenezwi kwa semist au mwaka 1 utapandisha tu GPA yak badae jiamini ( pata supp ili uelewe zaidi) kaza butu kaka ndo ukubwa
Nashukuru mkuu
 
huko mbeleni je hali itakuaje kwenye ajira kama cheti chako kina sup
 
Watz ni wavivu kufanya reference kuna siku huyu mtoa mada anasema amepata course work A......bado anasema amepata sup 5 kiujumla haeleweki na yy mwenyewe hajielewi anafanya nn
Course work ya A nilipata kwenye somo moja ambalo ndilo miongoni mwa masomo niliyofaulu
 
Kwanza nakupongeza mana inaonekana una high self esteem, chamsingi komaa hizo semister zilizobaki japo hujasema upo mwaka wa ngapi na semister gani
Ivi kweli mkuu unaamini kuna chuo kimetoa matokeo UE hivi sasa? Mitahani imeisha juzi tu. Sasa haya matokeo ni ya nchi gani?
 
Kwa ufaulu huo ulistahili kudisco kabisa hvyo kama utapata fursa ya kusupp itumie vzr...
Relax hzo ni challenge tu za maisha huwez kuzikimbia hzo maana hata huku mtaan ukileta ujuaji maisha yatakupiga supp mapenz yatakupa supp kila kitu kitakupga supp kinachotakiwa ni kujikaza usiwe na moyo legelege kila siku utakua wa kulialia tu...
Just peak urself up and keep on goin...
Ukitaka kurukia mbali zaid lazma urud nyuma kidogo ndio uruke ndicho kilichokukuta umesharud nyuma kidogo jitahid uruke mbali zaid...

Mwenyew nlishaandikiwa disco chuo nkalialia wakaruhus nisapue from there onwards nmefanya wonders mpka najiogopa...
Shukrani mkuu
 
Live hapo hana namna . hana budi kutafuta Alternative nyingine maana maisha sio kusoma tu bali kuna ishu nyingi za kufanya
Isitoshe hata ukimaliza kusoma bado utaambiwa nenda kajiajiri so bora aanze kujiajiri mapema kabla ya kuambiwa na serikali
 
Back
Top Bottom