Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Hakuna sababu ya watu kukufariji.Wanaofarijiwa ni wale wanaofeli kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao,kama magonjwa.Wewe umeandaa kufeli kwako mwenyewe,you have to learn the hard way.You are the architect of your own failure,so swallow your failures and learn to start afresh.
 
DUHHH SAFI SANA ALIJITAPA SASA YAKO SHINGONI
 
Nashukuru mkuu
 
huko mbeleni je hali itakuaje kwenye ajira kama cheti chako kina sup
 
Watz ni wavivu kufanya reference kuna siku huyu mtoa mada anasema amepata course work A......bado anasema amepata sup 5 kiujumla haeleweki na yy mwenyewe hajielewi anafanya nn
Course work ya A nilipata kwenye somo moja ambalo ndilo miongoni mwa masomo niliyofaulu
 
Kwanza nakupongeza mana inaonekana una high self esteem, chamsingi komaa hizo semister zilizobaki japo hujasema upo mwaka wa ngapi na semister gani
Ivi kweli mkuu unaamini kuna chuo kimetoa matokeo UE hivi sasa? Mitahani imeisha juzi tu. Sasa haya matokeo ni ya nchi gani?
 
Shukrani mkuu
 
Live hapo hana namna . hana budi kutafuta Alternative nyingine maana maisha sio kusoma tu bali kuna ishu nyingi za kufanya
Isitoshe hata ukimaliza kusoma bado utaambiwa nenda kajiajiri so bora aanze kujiajiri mapema kabla ya kuambiwa na serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…