Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #261
Nilistahili sup kivipi?Kumbe wewe [emoji23] [emoji23] sup ulistahili kwa kweli hata katika masomo yote 8, tuliza akili acha kusumbua sumbua watu wazima humu jf ukipata nafasi ya kuendelea na masomo achana na ujinga wa kushinda jf and other social networks komaa kwa vitu vya Msingi ondoa ujinga huo
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauriDaah aisee mbona hilo tatizo lililokukuta DIT ni kitu cha kawaida tu yaan mtu anapigwa supp tano safi na ana sapua zote halafu mwendo mdundo we kama vip komaa tu wacha mzaha mzaha hicho kidemu kilosababisha hemu kiweke pemben kwanza mkuu
BAHATI mbaya sana watu wanaendelea kupuyanga kwa ushauri.Hapa ndo nashangaaa huyu anacheza na akili za watu
Ngoja niilete ya PCB maana naona unaendelea kuchezea akili za baba zakoNonsense
Unakataa nini sasa?Ahahah mtihani wa project wa majembe auction mart huyu ni muongo, period!
Pitia post no100 nimetolea ufafanuzi yakinifuYaani chuo hicho wamesha maliza end of semester exams, wamesahihisha na majibu yametolewa? Au unataka kusema hata hukuruhusiwa kufanya end of semester examinations. Hii scenario inatia wasi wasi naona hapa tunaingizwa chaka labda tuambiwe ni chuo gani na program/course ipi tuweze kutoa ushauri.
Sawawewe dem hizo ni story ulizohadithiwa na bwana wako ambaye kashafanya pepa km ud;sema uneshindwa kupangilia pumba zako!
Nashukuru mkuuWewe sio wa kwanza kukutana na msala wa SUP mdogo wangu muhimu kaza msuli toa vimeo ivyo,sijajua uko chuo gani maana vyuo vingine hapo usha-disco ujue ila ukipata chance ya kuendelea hakika unatoka muhimu weka mkazo kwenye shule.
Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Mkuu kinachoniuma ni kuwa nina uwezo mkubwa wa kitaaluma sema sikufit na mazingira mapema pia sikujua chuo kwamba hakuna mtihani wa majaribio kwa kuwa kila mtihani unahesabiwaDuh... kama ni Timu ya Mpira unaonekana unashambulia sana ila unafungwa Wewe magoli mengi. Masomo 8 halafu unaingia ' nyavuni ' mara 5 nzima na unapona kwa Masomo 3 tu? Mkuu yawezekana bahati yako haiko ' Kitaaluma ' zaidi na inawezekana kuna mahala pengine unaweza zaidi na ni mzuri mno ila labda hujajigundua au hujapajua. Pole sana Mkuu.
mbona ulishataja mkuu chuo na program unayosoma.., kitambo sana au ndo umesahahu eeSwali gumu hili mkuu
Na sababu ya kuwa gumu ni kuwa huenda humu kuna ma lecturers wangu hivyo basi kuendelea kujianika itakuwa sio kitu kizuri na watakuwa wananifuatilia nyendo zangu kitu ambacho sipendi kitokee
Nipo mwaka wa kwanzaKwanza nakupongeza mana inaonekana una high self esteem, chamsingi komaa hizo semister zilizobaki japo hujasema upo mwaka wa ngapi na semister gani
Asante mkuuWhat was you doing all long? Supp 5 kweli. Kuwa serious na chochote unachofanya maishani...pole
Ok nashukuru mkuuWe jamaa utakua unasoma SUA au ARDHI maana hv vyuo kupata sup 5,8 ni kawaida sana..... Acha kuchat Now hapa jf wafate washkaj walio vzur ktk hayo masomo uliyofel then waombe wakusaidie na utapangua kama tu upo siriaz... Huez kudisco kama ndio mwaka wa kwanza na upo semister ya kwanza
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]Nmetaja sua na ardhi maana hao ndio wana unique course ambazo nyng hazpatkan East Africa nzma bali Tanzania tu
Anhaaaa kumbe hivyoo daah afadhariSupp haiandikwi kwenye cheti ,C ndo itaandikwa ila tu kama ulisapua
Usijifanye kichwa ngumu mara ya ngapi nakwambia?Ivi kweli mkuu unaamini kuna chuo kimetoa matokeo UE hivi sasa? Mitahani imeisha juzi tu. Sasa haya matokeo ni ya nchi gani?
Nawapa pole wazazi wako kwa kutumia fedha zao kwa mtu unayeshinda jf kutongoza wanawake tunaokuzidi maisha HR 666 kumbe u mtoto kiasi hicho?! Next time tumia vizuri resources wanazo invest wazazi wako kwako,huo ndio ushauri wangu!!Nilistahili sup kivipi?
Kusomeshwa na wazazi kuna uhusiano gani na kupata sup?
Lady Aj yale mambo ya kutongozana mimi na wew si yalishaishaNawapa pole wazazi wako kwa kutumia fedha zao kwa mtu unayeshinda jf kutongoza wanawake tunaokuzidi maisha HR 666 kumbe u mtoto kiasi hicho?! Next time tumia vizuri resources wanazo invest wazazi wako kwako,huo ndio ushauri wangu!!