Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Kumbe wewe [emoji23] [emoji23] sup ulistahili kwa kweli hata katika masomo yote 8, tuliza akili acha kusumbua sumbua watu wazima humu jf ukipata nafasi ya kuendelea na masomo achana na ujinga wa kushinda jf and other social networks komaa kwa vitu vya Msingi ondoa ujinga huo
Nilistahili sup kivipi?

Kusomeshwa na wazazi kuna uhusiano gani na kupata sup?
 
Daah aisee mbona hilo tatizo lililokukuta DIT ni kitu cha kawaida tu yaan mtu anapigwa supp tano safi na ana sapua zote halafu mwendo mdundo we kama vip komaa tu wacha mzaha mzaha hicho kidemu kilosababisha hemu kiweke pemben kwanza mkuu
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri
 
Ahahah mtihani wa project wa majembe auction mart huyu ni muongo, period!
Unakataa nini sasa?

Tunasomo la project ambalo tulifanya project kama group

Na mtihani wake kesho na mtihani wenyewe ni oral exam haiandiki kwa mkono you just talk
 
Yaani chuo hicho wamesha maliza end of semester exams, wamesahihisha na majibu yametolewa? Au unataka kusema hata hukuruhusiwa kufanya end of semester examinations. Hii scenario inatia wasi wasi naona hapa tunaingizwa chaka labda tuambiwe ni chuo gani na program/course ipi tuweze kutoa ushauri.
Pitia post no100 nimetolea ufafanuzi yakinifu
 
Wewe sio wa kwanza kukutana na msala wa SUP mdogo wangu muhimu kaza msuli toa vimeo ivyo,sijajua uko chuo gani maana vyuo vingine hapo usha-disco ujue ila ukipata chance ya kuendelea hakika unatoka muhimu weka mkazo kwenye shule.
Nashukuru mkuu
 
Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza

In any University kila kazi unayopewa yaani assignment ni MUHIMU MNO MNO, chuo hakuna lelemama kama kweli umetoka high school with good grades na sasa unataka chuo kikuu utoke na GPA 3.8 kwenda juu, from day one kama una akili za kawaida you have got to read kufa na kupona na assignment uwe unapata siyo chini ya 9/10 that is nine over ten!! else rudi kijijini kuchunga ngombe au kuchimba madini na siyo chuo.(for your information mimi chuo nilipitia late 1970s and early 1980s)!!!
 
Duh... kama ni Timu ya Mpira unaonekana unashambulia sana ila unafungwa Wewe magoli mengi. Masomo 8 halafu unaingia ' nyavuni ' mara 5 nzima na unapona kwa Masomo 3 tu? Mkuu yawezekana bahati yako haiko ' Kitaaluma ' zaidi na inawezekana kuna mahala pengine unaweza zaidi na ni mzuri mno ila labda hujajigundua au hujapajua. Pole sana Mkuu.
Mkuu kinachoniuma ni kuwa nina uwezo mkubwa wa kitaaluma sema sikufit na mazingira mapema pia sikujua chuo kwamba hakuna mtihani wa majaribio kwa kuwa kila mtihani unahesabiwa
 
Swali gumu hili mkuu

Na sababu ya kuwa gumu ni kuwa huenda humu kuna ma lecturers wangu hivyo basi kuendelea kujianika itakuwa sio kitu kizuri na watakuwa wananifuatilia nyendo zangu kitu ambacho sipendi kitokee
mbona ulishataja mkuu chuo na program unayosoma.., kitambo sana au ndo umesahahu ee
 
We jamaa utakua unasoma SUA au ARDHI maana hv vyuo kupata sup 5,8 ni kawaida sana..... Acha kuchat Now hapa jf wafate washkaj walio vzur ktk hayo masomo uliyofel then waombe wakusaidie na utapangua kama tu upo siriaz... Huez kudisco kama ndio mwaka wa kwanza na upo semister ya kwanza
Ok nashukuru mkuu
 
Ivi kweli mkuu unaamini kuna chuo kimetoa matokeo UE hivi sasa? Mitahani imeisha juzi tu. Sasa haya matokeo ni ya nchi gani?
Usijifanye kichwa ngumu mara ya ngapi nakwambia?

Pitia post no100 nishaliongelea hili
 
Nilistahili sup kivipi?

Kusomeshwa na wazazi kuna uhusiano gani na kupata sup?
Nawapa pole wazazi wako kwa kutumia fedha zao kwa mtu unayeshinda jf kutongoza wanawake tunaokuzidi maisha HR 666 kumbe u mtoto kiasi hicho?! Next time tumia vizuri resources wanazo invest wazazi wako kwako,huo ndio ushauri wangu!!
 
Wewe ni Muongo, jumatatu ulikua unapiga msuli ukakutana na mrembo ukaenda kumpigia Nyeto... Saivi ushasup.. Sawa bwana
 
Nawapa pole wazazi wako kwa kutumia fedha zao kwa mtu unayeshinda jf kutongoza wanawake tunaokuzidi maisha HR 666 kumbe u mtoto kiasi hicho?! Next time tumia vizuri resources wanazo invest wazazi wako kwako,huo ndio ushauri wangu!!
Lady Aj yale mambo ya kutongozana mimi na wew si yalishaisha

Kwani nimekutongoza tena?

Ulivyonipiga kibuti tena isitoshe ukaja kunianika jukwaani bado tu una kinyongo?
 
Back
Top Bottom