Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Hii kwa mzumbe nadhani ungeshadisco maana pale sup zilikuwa zikifika nne in one academic year umedisco. Bora huko uliko. Ila ushauri mzuri ni kurudia mwaka tu, tafuta mbinu urudie mwaka kijana. Ila kama unlipiwa na heslb sijui itakuwaje.
 
Kuna mtu alikuwa anaingiza sup 6 kwa mwaka... anapangua 5 anacarry somo 1.
 
Uko chuo gani kwanza?!!,, mbona kma ushadisco tayari
Sup 5 out of 8 modules
 
Mkuu huyo ni mtoto asiwaumize kichwa mtu anashindwa hata kujieleza...haya kusema anasoma chuo gani hawezi basi sema kozi hayo haweZi sasa anataka asaidiwe je?
 
Mkuu huyo ni mtoto asiwaumize kichwa mtu anashindwa hata kujieleza...haya kusema anasoma chuo gani hawezi basi sema kozi hayo haweZi sasa anataka asaidiwe je?
nataka nisaidiwe mawazo kutaja chuo ninachosoma ni aibu kwa lectures wangu wengine wapo humu JF
 
HE'S EXPOSING YOUR STUPIDITY POSTS, YOU PERHAPS THINK ALL GUYS IN JF ARE FOOLS, CC; PETER TOSH
Asante mkuu kww kunielewa lengo langu
Huyu anatakiww kuandikiwa ripoti kwa mods ili hatua sitahiki zichukuliwe
 

We si uliamua kushinda humu JF kuitukana serikali ya Magufuli....
 
Asante mkuu kww kunielewa lengo langu
Huyu anatakiww kuandikiwa ripoti kwa mods ili hatua sitahiki zichukuliwe
kwani hizo nyuzi zina tatizo gan?

Zinauhusiana nini na nilichopost humu?


Always try to think critically
 
We usha disco tayari jiandae kurudia au katoe rushwa
Ushafeli zaidi ya nusu ya course unatarajia nini
 
Uko chuo gani na level ipi? Hivi kuna vyuo wameshamaliza mitihani na kutoa matokeo mpaka sasa?
Mimo nahisi huyo kijana ni utoto unamsumbua...maana vyuo vingi wanaanza mitihani j3 ya tarehe 20...ukiachana na udsm ambao wameshafunga chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…