macho manne
Senior Member
- Jan 10, 2017
- 102
- 47
Naomba kukuliza kwanza una GPA ya ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kwa mzumbe nadhani ungeshadisco maana pale sup zilikuwa zikifika nne in one academic year umedisco. Bora huko uliko. Ila ushauri mzuri ni kurudia mwaka tu, tafuta mbinu urudie mwaka kijana. Ila kama unlipiwa na heslb sijui itakuwaje.
HE'S EXPOSING YOUR STUPIDITY POSTS, YOU PERHAPS THINK ALL GUYS IN JF ARE FOOLS, CC; PETER TOSHHey unataka nini?
Naomba kukuliza kwanza una GPA ya ngapi
Mkuu huyo ni mtoto asiwaumize kichwa mtu anashindwa hata kujieleza...haya kusema anasoma chuo gani hawezi basi sema kozi hayo haweZi sasa anataka asaidiwe je?Wengine tumemaliza zamani kidogo, tupe majibu haya kwanza:-
1. Upo mwaka wa ngapi?
2.Sheria ya chuo inasemaje ? ili ufanye sup inabidi usifeli zaidi ya masomo mangapi?
3.Unasomea kozi gani?
4.Upo chuo kipi?
5.Maelezo mengine yeyote yatakayoweza kutupa undani wako ?
nataka nisaidiwe mawazo kutaja chuo ninachosoma ni aibu kwa lectures wangu wengine wapo humu JFMkuu huyo ni mtoto asiwaumize kichwa mtu anashindwa hata kujieleza...haya kusema anasoma chuo gani hawezi basi sema kozi hayo haweZi sasa anataka asaidiwe je?
Asante mkuu kww kunielewa lengo languHE'S EXPOSING YOUR STUPIDITY POSTS, YOU PERHAPS THINK ALL GUYS IN JF ARE FOOLS, CC; PETER TOSH
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
kwani hizo nyuzi zina tatizo gan?Asante mkuu kww kunielewa lengo langu
Huyu anatakiww kuandikiwa ripoti kwa mods ili hatua sitahiki zichukuliwe
Niende PCM au PCB ?We si uliamua kushinda humu JF kuitukana serikali ya Magufuli....
Wapi na lini nimejiingiza kwenye masuala ya siasa?We si uliamua kushinda humu JF kuitukana serikali ya Magufuli....
Niende PCM au PCB ?kwani hizo nyuzi zina tatizo gan?
Zinauhusiana nini na nilichopost humu?
Always try to think critically
Niende PCM au PCB ?nataka nisaidiwe mawazo kutaja chuo ninachosoma ni aibu kwa lectures wangu wengine wapo humu JF
Hujiulizi kwa nini watu wana kupuuzia?
Mimo nahisi huyo kijana ni utoto unamsumbua...maana vyuo vingi wanaanza mitihani j3 ya tarehe 20...ukiachana na udsm ambao wameshafunga chuoUko chuo gani na level ipi? Hivi kuna vyuo wameshamaliza mitihani na kutoa matokeo mpaka sasa?
Jibu liko hapaMkuu huyo ni mtoto asiwaumize kichwa mtu anashindwa hata kujieleza...haya kusema anasoma chuo gani hawezi basi sema kozi hayo haweZi sasa anataka asaidiwe je?
Mimo nahisi huyo kijana ni utoto unamsumbua...maana vyuo vingi wanaanza mitihani j3 ya tarehe 20...ukiachana na udsm ambao wameshafunga chuo